Recent content by Lunguja Sano

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere

    Hakuwepo kiongozi yeyote wa CHADEMA pale zaidi ya Mbunge mfiwa na watu wake inasikitisha, mnamthamini mbwa kuliko binadamu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe, kama umaskini ni laana kwanini unaipinga serikali ya awamu ya 5?

    Yaani mnapenda kuwasifia majizi na mafisadi ndio unadhani ndio utajiri, utajiri ni ule wa halali na sio wizi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

    Mungu anakuona kabisa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli huwa ana nini kwenye mambo kama haya?

    Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA alienda msibani au aliwakilishwa na nani maana sijamuona au mpaka msiba utokee kanda ya kaskazini?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Je, Diaspora wetu wana mchango wowote kuisaidia Tanzania kisiasa? Wana any influence kwenye siasa za nchi yetu? Angalia Diaspora wa India

    Usijidanganye rafiki yangu Tanzania kuna nafasi nyingi za kufanya maendeleo , watu wanafanya maendeleo tena makubwa sana kuliko hata waliopo Ulaya . Watu wanajenga , wanafanya kazi za utalii. Wewe kaa huko halafu uje utajikuta umechelewa.Cha msingi ni kushughulisha kichwa chako na usijiingize...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atamani Chadema kuongoza nchi, Watanzania wakiwa matajiri na si masikini

    Aache kutaka kugeuza watanzania mazuzu, yeye ruzuku zote anakula mpaka wabunge na madiwani na wenyeviti wa mitaa wanamkimbia kwa ulafi wake sasa mtu wa namna hii anaweza kuisimamia nchi huyu.Mbowe ni mbinafsi wa kupitiliza hajawawi kusaidia mtu bila faida , sie tunao mfahamu tunamkataa kama...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

    Kuweni na subira na subira inaleta heri , msihukumu jambo bila ushahidi wa kweli.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavyopata heshima Nigeria kisa magufuli

    Mshamba wewe usietaka kufuatilia mambo ya nchi yako na kubakia kupinga kila jambo kama bingwa wa RIVASI
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavyopata heshima Nigeria kisa magufuli

    Nje ya Tanzania Rais wetu anasifika sana , si wazungu wala waafrika waliopo Ulaya na kila mtu anataka kumjua . kwa kweli anapendwa sana.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hao Diaspora wa Makonda waliotoa misaada ni akina nani?

    Amin Alli anakaa mji wa Seattle, Washington state. Huwa hapendi kujitangaza lakini ni mtu mzuri anapenda sana kutoa misaada kwa waafrika
  11. L

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    HALAFU WATU WA MADAWA YA KULEVYA WANASHANGILIA KWA SANA , MHE. RAIS USIMUONDOE MAKONDA AENDELEE KUWABANA WATU HAWA ,KILA ANAYECOMMENT MAKONDA AONDOKE ANA JAMBO BAYA AFANYE.MAKONDA KATELEZA MARA MOJA ,MTOTO AKIWA NA MAKAMASI UTATOA MAKAMASI NA WALA SIO PUA MSAMEHE MKUU WA NCHI.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Filikunjombe, Uvamizi LHRC: Tuhuma nzito zaelekezwa kwa January...

    Fitina , umbeya , uzushi na uzandiki utawamaliza wtanzania hakuna jema wala zuri la mtu. Hivi Makamba kawafanya nini mnataka kumtungia uongo na Mungu anawaona kweli.Mtu kukaa kimya ndio umafia, njooni na uthibitisho tuone .
  13. L

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Sie tunasubiri serikali iyataifishe shule zigawiwe bure
  14. L

    JamiiForums Tanzania DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    Tukumbuke anafanya kwa manufaa ya nchi na kama mnatia shaka samani ziruhusiwe na zisimamiwe kwenye ugawaji maana walimu hawana samani jamani , ofisi zimejengwa nzuri na hazina samani tuache kukwamishana nchi ni yetu sote. Mbona kuna watu wanapata misaada ya kusamehewa kodi . Tunakuomba Raisi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

    Jamani Makonda kafanya hivyo kwa manufaa ya wana Dar es salaam , tunaomba asaidiwe ili elimu iende mbele , tuache kukwamishana serikali yetu ni moja koteina hizo zikiuzwa bado hela itaenda serikalini kununua madawati kulipa walimu na kujenga shule pia. Muheshimiwa Rais ingilia kati suala hili...
Back
Top Bottom