Recent content by Lumos

  1. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu, we tupia mikeka tupo tunaoifuatilia
  2. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hizo options nimeshindwa kuzielewa, hizo timu ulizoziweka ni kwamba zitashinda?
  3. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Desimali ipo, ila uweke namba kuanzia 1-9.ukiweka sifuri baada ya desimali inagoma.hiyo ni shida ya app yenyewe, unaweza kujaribu app nyingine zinazofanana na hiyo
  4. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    App hii itakurahisishia kazi iko playstore
  5. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Bado sijafanikiwa kupata kazi ndugu zangu, vibarua imekuwa ni changamoto kupata. Nipo ifakara mjini, Kwa mwenye uhitaji wa kibarua kwa kazi yoyote halali nipo tayari.
  6. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Hata kuupata huo kwa siku unashukuru, Ila MUNGU ni mwema anatupa uhai na nguvu ya kuendelea kupabana japo mambo bado ni magumu yani kila siku ni afadhali ya Jana.
  7. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Mkuu mi ni ME.
  8. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Nawezaje kuipata hiyo kazi mkuu?
  9. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Ni hapa hapa ifakara kaka?
  10. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    We acha tu ndugu, hapa nilipo nawaza na sipati jibu, yani najiona kabisa nimekonda.But sijakata tamaa, naamini MUNGU atanivusha hapa, japo bado naona Giza mbele yangu
  11. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Sijawahi kuwaza Kama ntakuja kupitia nyakati Kama hiz, Leo asubuhi nimeamka sina hata Mia na Nina familia inanitegemea.pamoja na kuzuguka kote nimeambulia buku 2 na mpaka sasa sijui kesho itakuaje. Kama Una kazi iheshimu Sana, usiombe kuwa kwenye situation niliyonayo Mimi wakati huu.
  12. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Asante kwa ushauri
  13. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Naona Kama ni ngumu mtu kukuamini mpaka akukabidhi bidhaa kwa Mali kauli
Back
Top Bottom