Recent content by Lumala Madomado

  1. Lumala Madomado

    Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

    kwamba atakuwa hoi eeeh
  2. Lumala Madomado

    Hii 'kamata kamata' maana yake nini?

    pamoja na maon hayo hata mm naunga mkono chama kmechoka na hawako tayar nch kuiweka katk demokrasia ya kweli . JE TUFANYE NN SASA MANA UKIGEUKA BOM MARA NGOMA YA MOTO KAMA MOTO BED
  3. Lumala Madomado

    WALE WA DIV 3 FORM 6 2016

    Bro elewa elim ya kibongo saiv n kugandamiza tu na tuelewe kuwa elimu inayotolewa n ya nazalia tu bal huna utaramu wowote bila ajra UTASUGUA TAKO HOME TU waboreshe wap wakat tunatumia CARIKULAM ya wenzetu
  4. Lumala Madomado

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu 2016

    sasa leo unakuja kusoma unamalza miaka miwil unaambiwa ONDOKA kisa wamebadilsha vigezo na ww umezaliwa kjjn na kusoma kjjn na walim wa SAYANS hakuna UNAPATA three bado UNAFUKUZWA NA MATUS JUU
  5. Lumala Madomado

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu 2016

    pole bro mnyonge umnyonge lakn haki yake umpe et mtoto wa kigogo atasomea ualim chuo cha wap kama sio uongo
  6. Lumala Madomado

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu 2016

    ahsante bwana thomas MM bnafs sjakubal manyanyaso kama hayo nikiwa raia wa nch yangu na MKATABA wazir Kasim Majaliwa walikuwa miongon mwa watu waliokubaliana nao KAMA HVYO tumpelekee hao vijana walioacha mana wengine hawakuomba huko lakn wakawapeleka UDOM si maamzi walifanya wao hili laxma...
  7. Lumala Madomado

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu 2016

    Hakika waziri wewe ulikuwa miongoni mwa mawaziri mwaka 2014. Mliamua kusajili wanafunzi 2,000 UDOM kwa kuanzia credit moja ya "C" na mlichagua hadi watu ambao hawakuomba UDOM. Je ahadi yenu ya kusaidia wakulima iko wapi na kwanini hautaki kulisemea hili? Tutaenda wapi mmetuacha tuna division...
Back
Top Bottom