Jilekebisheni,hivi hamuoni Wateja wanapungua Mbarali,sababu nikuchumua Salio bila utaratib,vifurushi kwisha hovyohovyo bila utaratib,ukiuliza kwa washauri majibu take hayaridhizishi kabisa
Voda kwa sasa mnanyang'anya hela za watu,Mimi hivi na mpango was kuhama mtandao,kiweka hela ili nijiunge kifurushi naambiwa sina Salio,nikiangalia Salio lipo baada ya muda Salio halipo na kifurushi hakuna nimevumilia hiyo hali nimechoka.Voda jilekebisheni huo wizi
Nami natafutamke was kuoa :1-awe mrefu.2-awe natabia mzuri na mcha mungu.3-umri kuanzia 18-40.4.sofa pekee kama atapatikana awe hajamjua mume( bikira)mawasiliano 0673377321
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.