Ni majira ya saa8 alasiri hii leo
wakaaji wa kijiji cha kituri mwanga kilimanjaro
walipokimbia nyumba zao
baada kumuona njiwa mweus akibebeshwa barua yenye maandishi yaloandikwa kwa lugha ya kiarabu kwa kutumia
wino mwekundu maarufu kombe.
Na mpaka jioni hii yupo
ana2a kila nyumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.