Recent content by Lukutu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete akijadili namna ya kuboresha elimu ya dunia

    Sababu hata hao waliomchagua hawana dira ndio maana, bora wangekuchagua wewe una dira
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete akijadili namna ya kuboresha elimu ya dunia

    Dah mshikaji unajua kidhungu kweli naona mavoc kama kawa!!! Hv umesoma mpaka kidato gani vile?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

    Aende na kwa yule wa 220 kwa mwezi kama ndio hivyo, watu wanalipwa vizuri ili na wao wafanye kazi nzuri
  4. L

    JamiiForums Tanzania Basi lipi zuri kusafiria Mwanza kwenda Dar es Salaam?

    Mh wabongo bana!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Basi lipi zuri kusafiria Mwanza kwenda Dar es Salaam?

    Walisoma hao hata kuandika fairy tale na wishful hajui!!!! Kikwete ni another level
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani, Ulaya Wasusia Kuapishwa Dr. Shein

    Aah wacha wasusie tu, kwani lazima waje wao, huu ukoloni wa fikra sijui utatuisha lini!!! Kila kitu lazima wao wabariki na sie afrika tunakua kama tunangoja baraka zao, huu ni utumwa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mhasham Polycarp Pengo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

    We hata hujui qur'an bora unyamaze naona unatokwa na povu jingi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mhasham Polycarp Pengo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

    tusome hapo aya ya 20 tusome
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mhasham Polycarp Pengo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

    Huwa hawasomi hawa wanaojiita wasomi, wamekaririshwa, hata kitabu chao pia hawakisomi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mhasham Polycarp Pengo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

    Manake hawa wapiga picha wanawafata kutokana na nafasi zao
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mhasham Polycarp Pengo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

    Kuna shida gani ukienda na wapiga picha?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mhasham Polycarp Pengo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

    Umesema kweli tupu, na wala isiwe maneno baadae mtumishi wa kiislam akienda kuombewa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zanzibar: CCM imeshinda lakini haijiamini,haina amani

    Suala la zanzibar ni zaidi ya ccm, refer to lukuvi speech, kwahivo watu wengine nyamazeni tu ni interest zenu ndio zinazolindwa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Awaongoza Wakazi wa Mwanza Kuliombea taifa Amani

    Kuliombea tu haitoshi watu wawe waaminifu kwanza ndio mungu nae alete neema zake,
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso, Blaise Compaore amejiuzulu.Jeshi lachukua mamlaka ya nchi

    Utakuwa peke yako usituletee sisi upuuzi, familia inakushinda unakaa kulalamikia serikali
Back
Top Bottom