Recent content by lukunij

  1. lukunij

    Kiwanja kiwanja kiwanja !!!!!!!

    nyie kama hamna pesa tueni tu sio lazima mujibu umeongea nani kuhusu bei pesa ya kula tu inakushinda utaweza kununua kiwanja
  2. lukunij

    Kiwanja kiwanja kiwanja !!!!!!!

    Kiwanja kipo mtwara ekari moja na kimepimwa kipo pembeni mwa barabara ya mtwara- dar maeneo ya kirimahewa ni km tatu na nusu kutoka mtwara mjini bei ni pouwa mawasiliano lukujuma@yahoo.com ,0754756100,0656071876
  3. lukunij

    Viwanja vipo mtwara karibu na mikindani vinauzwa/land for sale at mtwara regional

    Kwa yeyeto anayehitaji kiwanja hecka moja kipo maeneo ya mikindani mtwara barabara kuu ya mtwara dar-es-salam wasilana na mimi kupitia namba 0656071876 or 0754756100
  4. lukunij

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Wana jamii forums naomba munisaidie nateseka na ulcers nimetumia dawa tofauti lakini sipati haueni nimiezi minne iliyopita mpaka nimeshindwa kuendelea na masomo nani ambaye anafahamu dawa anisaidie au hata ushauri pls!!!!!!!!!!!!!
  5. lukunij

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    dah kumbe watu wa jf niwabaya sana toka lini pilipili+chumvi+limau hiyo ni acid kali mno unataka kuunguza uume wa wenzio we mtu mbaya sana inaawezekana sio binadamu wwe
  6. lukunij

    Progress: Mume hanifikishi kisawasawa

    mmmh! jamani amini musiamini mi niliwahi kukutana na mwanamke mmoja wa jf nikakimbia mbio usijiroge hawa wote ni wahuni tu hakuna mwenye mapenzi hapa nitaka kutafuta mchumba cos ninaokutananao hawafikii vigezo vyangu nikakutana na dada mmoja akaniambia ni mwalimu ile siku ya kwanza tu kukutanae...
  7. lukunij

    udsm walishaita kwenye usaili nafasi za 14 january?

    oh kumbe mwendo wa simu tu du hiyo kali kama hauko hewani imekula kwako sio
  8. lukunij

    udsm walishaita kwenye usaili nafasi za 14 january?

    kwn short list wameitoa?
  9. lukunij

    Jamani ni saidieni kwa hili

    poa nimekuelewa but wasiwasi wangu ni kuwa na family wakati aged so nivigumu kuwawapatia huduma muhimu cos nitakuwa nimeshachoka so ndio yale ya kutegemea ndugu unalionaje hilo?
  10. lukunij

    Jamani ni saidieni kwa hili

    mkuu which time unaongera it means i'm not grown enough to have marriage?
  11. lukunij

    Jamani ni saidieni kwa hili

    so kwahiyo niachane na hii issue sio?
  12. lukunij

    Jamani ni saidieni kwa hili

    tunaomba but ndio chenga tu
  13. lukunij

    Jamani ni saidieni kwa hili

    hapana japokuwa swala la uzuri lipo lkn sio kwa sana but wana JF now day wanawake hawaeleweki so ni ngumu sana kumpata muelewa na wakati mwingene nafikiria nikichelewa sana sitakuja kuoa tena cos nitazoea na maisha ya ubachelor na hata family yangu nitaipa uzeeni ndio hizo habari za watoo kuja...
  14. lukunij

    Jamani ni saidieni kwa hili

    nina miaka 28 but i'm very tired na maisha ya ubachelor
Back
Top Bottom