Kiwanja kiwanja kiwanja !!!!!!!

Kiwanja kiwanja kiwanja !!!!!!!

lukunij

Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
36
Reaction score
7
Kiwanja kipo mtwara ekari moja na kimepimwa kipo pembeni mwa barabara ya mtwara- dar maeneo ya kirimahewa ni km tatu na nusu kutoka mtwara mjini bei ni pouwa mawasiliano lukujuma@yahoo.com ,0754756100,0656071876
 
Wadau,

Nimempigia huyu jamaa kasema bei ni Tshs 50Mil!!
 
Hahaha tena gesi yenyewe wawekezaji wapo jiran
 
nyie kama hamna pesa tueni tu sio lazima mujibu umeongea nani kuhusu bei pesa ya kula tu inakushinda utaweza kununua kiwanja
 
Muuzaji hueleweki mimi umeniambia Tsh 200 Milioni! Inakuwaje hapa? Weka wazi bei yako jamvini kama si mbabaishaji.
nyie kama hamna pesa tueni tu sio lazima mujibu umeongea nani kuhusu bei pesa ya kula tu inakushinda utaweza kununua kiwanja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom