Mimi naona bado ina nafasi kubwa na tunaihitaji na lengo kubwa la adhabu hii ni kuwatisha walio baki na hata ukisema wafanye kazi za kuzalisha haitasaidia sana kwani lengo la adhabu ni kuogopesha,kufanya mtenda kosa ajutie yale aliyofanya,asikie maumivu sawa na kosa alilofanya na pia kutoa...
Abortion sio halali tangu zamani na tusije tukaihalalisha acha wafanye kisiri lakini ukiwatangazia itakuwa hatari. Isihalalishwe ifanyike tu kama kuna hatari kwa mzazi isiwe mtu kaipata hajisikii kuwa na mtoto basi atoe, na kesi zake hazisikiki kwa kuwa zinafanyika kwa siri na njaa za madaktari...
Tatizo raia tunaweka chuki na uadui kwa vyombo hivi na hpo ndipo utata unatokea kupata elimu kama hii sio kubishana nao kuna askari wengine hawazijui hizi sheria
hakuna mtu mwenye nguvu bali kuna kitu chenye nguvu nacho ni HELA tu.... nchi hii hata ufanye nini ukiwa na hela zitaundwa tume za uongo mwisho wa siku linapotelea hewani. we hushangai kwa nini hata wananchi wanaangalia anaye wapa chochote ndo wana mchagua....maskini akipita basi nyuma yake kuna...
watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu serikali inampango gani nao? na usiwe mpango wa maneno utekelezwe mara moja kwani wapo wenye vipaji vya hali ya juu kwa nini mbunge usijisikie vibaya kupata milo mitatu kwa siku wakati mtanzania mwenzako hata pa kunywa maji hana kwa kweli ni kero kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.