Recent content by lukanima

  1. L

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Siku zote udhalimu hauwezi kuzishinda hisia za watu. Japokuwa serikali ya ccm imeamua kuvitumia vyombo vya dola kufanya uonevu dhidi ya raia wapenda mageuzi, hila zao zimeshindwa. Hongera CHADEMA. HONGERENI WANA ARUSHA KWA KUONESHA NJIA.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    MBOWE HATAKIWI KUOMBA RADHI, BALI KUPONGEZWA Kumshutumu Mheshimiwa Mbowe kwa kuhudhuria dhifa ya kitaifa kwa mgeni wa kitaifa (si wa CCM) si jambo la kuungwa mkono hata kidogo. Mwanakijiji naheshimu sana mawazo yako unayoyajenga kwa hoja nzito na zenye nguvu. Lakini katika suala hili la...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuanguka haraka kwa CCM na Hatari inayolikumba Taifa hivi sasa!

    Kweli kabisa usemavyo kamanda. Maana tumeshavuka kwenye "DALILI YA MVUA NI MAWINGU" na sasa tumefika kwenye "MVUA IMEANZA KWA KISHINDO CHA RADI, UPEPO MKALI, NA MAFURIKO". Hakuna wa kuizuia mvua hii!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Picha: MTANGAZAJI JOYCE KIRIA AOMBA AFAHAMISHWE ALIPO MUMEWE HENRY KILEO..

    Jaribu kuifanyisha kazi akili yako ifikirie zaidi ya unachoona. Isitoshe anasema anataka kujua mumewe aliko: hiyo nayo ni haki yake kama mwanamke. Wewe ungependa aweke bango lenye "haki za wanaume"? Watanzania bila kuacha tabia ya kufikiri bila kutafakari tutapata shida sana.
  5. L

    JamiiForums Tanzania "Askari mmoja alirarua gauni langu, nikabaki uchi mbele ya baba”

    Simulizi kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi (24 Juni 2013): Ilikuwa Juni 18, mwaka huu katika Uwanja wa Soweto wanachama na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walikukusanyika ili kuwaaga watu wanne waliokufa kufuatia bomu lililolipuka Juni 15, katika uwanja huo. Tangu bomu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Mnyika kijiweni.

    Uongozi wa watu ni watu. Safi sana mnyika
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Pinda: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    Kama Pinda ni binadamu, ni bora akae chini ayasikilize tena na tena matamshi yake, ayatafakari, na ajiulize na kujijibu kama kweli yupo sahihi! Kama ni mcha Mungu, akatubu kanisani na kuomba msamaha. Kisha afanye kila awezalo arekebishe kauli yake hii haraka sana kabla hajajutia madhara yake...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Pinda: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    Mzee Mwanakijiji, Haya ni maneno ya kusemwa na mwehu: sio kiongozi "...umeambiwa usifanye wewe hiki, ukaamua wewe kukaidi, utapigwa tu...maana maana hakuna namna nyingine...eeh, maana wote tukubaliane kwamba nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria...sasa kama wewe umekaidi hutaki, unaona...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Pinda: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    WAZIRI MKUU ANAPOTOA AMRI SHERIA ZIVUNJWE. JE, AMRI HII NI HALALI? Haya ni maneno ya waziri mkuu wa Tanzania, Bungeni tarehe 20 Juni 2013. "...umeambiwa usifanye wewe hiki, ukaamua wewe kukaidi, utapigwa tu.. maana hakuna namna nyingine...eeh, maana wote tukubaliane kwamba nchi hii...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa CHADEMA amepoteza Maisha kwenye Mlipuko wa Bomu Arusha

    kamanda na wote waliopoteza maisha wapumzike kwa amani na mungu awape nafuu wote waliojeruhiwa. Damu yao isipotee bure bali iwe ni chachu zaidi ya mapambano ya ukombozi wa taifa letu. Poleni sana wana chadema na watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu. Ukombozi umekaribia.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo alipojikwaa Mheshimiwa James Francis Mbatia (Mb)

    Very good clarification with facts! Natamani Mbatia angekuomba ushauri kabla hajatoa hoja yake.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya gesi Mtwara na taswira ya Tanzania nje ya nchi: Nani anajali?

    Maelezo yafuatayo ni kwa mujibu wa ushauri wa serikali ya Canada kwa raia wake kuhusu hali ya Tanzania . Kwa maelezo zaidi ingia katika tovuti http://travel.gc.ca/destinations/tanzania Security The decision to travel is your responsibility. You are also responsible for your personal safety...
Back
Top Bottom