Ni vyema tukalizungumza hili kwa mapana zaidi.Nina mifano ya vijana wasiopungua watano waliokuwa wamefanikiwa kimaisha lakini jambo la ajabu MPAKA mauti yanawafika marafiki zao ndio walikuwa wanajua Mipango yao ya mbele pamoja na mahali zilipo baadhi ya mali zao kama viwanja n.k mwingine huyu...
Utashi unatofautiana sana katika kuyachukulia mambo naamini Police wangewahi kuwatawanya wananchi vifo vingepunguwa au visingetokea kabisa ulikuwa sawa kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.