Recent content by lukala

  1. lukala

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Kwahiyo elimu ya mtu hupimwa kwa kuongea kingereza??
  2. lukala

    JamiiForums Tanzania Akina "Simuelewi Fadlu" Endeleeni tu kutomwelewa!

    Kwahy kosa kosa za ssc kwako hukuziona
  3. lukala

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeiteka Tanganyika

    W Wazee 3asilimia kwenye ubora wenu
  4. lukala

    JamiiForums Tanzania Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

    K Duuu hatari kwa umaskini uliopo Malawi hii hatari haya ndo mambo ya Ukraine na urus
  5. lukala

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama

    Mpiga dili mkubwa , mpenda rushwa , mchaga mjanja mjanja
  6. lukala

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

    Thubutu hana uwezo , mpiga dili sisi wapiga kura kutoka kanda ya kusini na Tabora tunaenda na Lissu
  7. lukala

    JamiiForums Tanzania Tukitumia mfumo huu, hakika tutamaliza ajali za barabarani kwa Siku moja Tu

    Nafikiri .umeongea point kumbe ubwabwa,, umejiuliza mambo yafuatayo????? 1. Kwanini ajali nyingi zipo nchi zinazoendelea??? 2.Je umejiuliza mfumo wa utoaje lesen kwa nchi zinazoendelea kama zinakidhi matakwa ya kimataifa?? 3. Je umejiuliza kama leseni zetu unaweza kutumia nchi zilizoendelea...
  8. lukala

    JamiiForums Tanzania Kuitwa mwizi na wananchi kuanza kushusha kipigo bila kuhoji ni kukosa ustaarabu jamii za Tanzania Bara, Wengi wamesingiziwa na kuuawa / kupata vilema

    Nikiwa msasani NAMI vibaka waliita mwiz ilanawafaham, asubuhi walikuja omba msamaha
  9. lukala

    JamiiForums Tanzania Pendekezo Kwa utumishi wa imma kufanyisha interview Ili kuongeza ufanisi na tija.

    Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu wa idara na wasaidizi wake, Mfano Maafisa utumishi wote kwenye kazi ya halimashauuri Hadi mkoani...
  10. lukala

    JamiiForums Tanzania Pendekezo Kwa utumishi wa imma kufanyisha interview Ili kuongeza ufanisi na tija.

    Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu wa idara na wasaidizi wake, Mfano Maafisa utumishi wote kwenye kazi ya halimashauuri Hadi mkoani...
  11. lukala

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa wakiwa wanawafanyia mitihani wa degree na masters!!!!

    Mama Samia wamulike kwanza maafisa utumishi wote halimashauuri
  12. lukala

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Hujui chochote
Back
Top Bottom