Mi naenda kinyume kidogo na mtoa mada. Mwenyezi Mungu alipomuumba Adam kisha Hawa/Eva, aliwaambia zaeni mkaongozeke mkaijaze dunia kama mchanga wa bahari. Kwa mantiki hii huwezi kuijaza nchi bila kufanya tendo la ndoa. Kwahiyo Adam na Hawa hawakumkosea Mungu kwa kufanya tendo la ndoa. Wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.