Recent content by Luhamba II

  1. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni Mambo Manne Yatakayo Tokea Kampuni Yako Isipo File Beneficial Ownership

    Habari Mjasiriamali, Karibu kwenye Episode 2 ya Business Compliance series" na Leo tunaongelea"Beneficial ownership" Kila Kampuni Ina wajibu wa Kusajili beneficial owners ndani ya siku 30 baada ya Kusajili Kampuni. Hili ni takwa la kisheria ambalo kila Kampuni inalazimika kulifuata kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kama Umechelewa Ku file Annual Returns

    Vizuri sana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kama Umechelewa Ku file Annual Returns

    Tafuta legal officer au compliance officer awe anakusaidia, wewe u focus na biashara tuu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni Mambo Matano Yatakayo Tokea Usipo File Annual Returns

    Habari Mjasiriamali, karibu kwenye Episode 1 ya "Business Compliance series" Na Leo tunaongelea Compliance ya kwanza "Annual Returns" Hii ni application ambayo hufanywa na Kampuni kila mwaka katika maadhimisho au birthday ya Kampuni. Wamiliki Wa Kampuni, directors, wakili au secretary Wana...
  5. L

    JamiiForums Tanzania "Ukimaliza Tuu Kusajili Kampuni You're all Set" Hii ni common misconception ambayo watu wengi waliosajili Kampuni wanayo...

    Ndiyo naweza, nitumie meseji WhatsApp kwa namba hii 0678131068
  6. L

    JamiiForums Tanzania "Ukimaliza Tuu Kusajili Kampuni You're all Set" Hii ni common misconception ambayo watu wengi waliosajili Kampuni wanayo...

    Mjasiriamali, Kuna compliances 19 ambazo ni lazima uzifanye through out the year ili Kampuni yako ibaki salama. Nilikua natafuta njia ya kuziandika zote hapa nimegundua itakua ni long boring series. Kwahiyo nimeamua kuifanya series, kila siku nitakua naandika kuhusu compliance Moja kwanzia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mfanya Biashara Bado Siku 10 Upigwe Penalty

    Habari mjasiriamali, Leo ni tarehe 19 June, Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026. Deadline ni tarehe 30 June. Kama mmiliki wa biashara au Kampuni unatakiwa ku file na ku submit Audited financial statements kabla...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Taarifa Hizi Wakati wa kuomba leseni ya biashara

    Habari mjasiriamali kama wewe umesajiki biashara au Kampuni Brela unahitaji Taarifa Hizi kuomba leseni halmashauri/tausi. 1. TIN Unahitaji TIN number ambayo utaitumia kufungulia akaunti tausi 2. Mkataba wa upangishaji, unaweza kuwa wa ofisi au wa nyumbani kwako. 3. Certificate of...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo matatu yatakayo tokea kama ukishindwa ku file beneficial ownership

    Habari mjasiriamali, Jana nilipost kuhusu beneficial ownership, nikasema kila mmiliki wa Kampuni ni lazima awasilishe taarifa za wanufaika wa Kampuni (Beneficial owners) ndani ya siku 30 baada ya kukamilisha usajili wa Kampuni. Moja ya swali nililoulizwa ni "Kwani nisipo file hio beneficial...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mambo Matatu Kuhusu Kampuni I Wish Ningeyajua Mapema

    Habari mjasiriamali, kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unatarajia kufungua Kampuni haya ni mambo Matatu ambayo natamani uyajue mapema kuhusu Kampuni 1/3 Ni lazima ku file beneficial ownership ndani ya siku 30. Beneficial owners ni watu wote ambao ni wanufaika wa Kampuni hata kama sio direct...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kama Umechelewa Ku file Annual Returns

    Habari mjasiriamali, Siku mbili zilizopita niliandika thread kuhusu documents zinazohitajika wakati wa Ku file annual returns, nikapata maswali kutoka kwa watu kadhaa "habari siku file annual returns mwaka uliopita nifanyaje" Fuata hatua hizi kama huku file annual returns; 1. Andaa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Documents Tatu unazo hitaji Wakati wa Ku file annual returns

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns. Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual returns; 1. Form no. 128 Hii fomu inabeba taarifa zifuatazo Wamiliki wa Kampuni ambao ni shareholders...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kubadili Tin binafsi kuwa Business TIN

    Mkuu kwema? Pole kwa late reply, tembelea ofisi za TRA zozote watakusaidia kubadili namba.
Back
Top Bottom