Recent content by Luhaga Samwel

  1. L

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Umesema vyema. Luna watu sijui wanataka nini. Ridhiwani in mtuhumiwa ambaye ametajwa Mara nyingi tu. Acha sheria ifuate mkondo wake.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuondoa adha ya kukabwa na wachawi?

    Two big options 1. Start praying kwa moyo wako wote 2. Tafuta bonge la mganga wa kienyeji.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Makonda akosolewa na Tume ya kudhibiti Madawa ya kulevya

    Naona hii vita imeshaisha sasa. Waibue jambo jingine. Kamishna ashapewa ofisi, sheria zitafuatwa. Kesi zitaendelea mahakamani kwa miaka 20 wakati huo wanaouza na wanaotumia drugs wataendelea kuneemeneka na kuharibikiwa. Mungu ibariki China, sorry, i mean Tanzania.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Makonda akosolewa na Tume ya kudhibiti Madawa ya kulevya

    Makonda was doing a good job!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    Bonge la pointi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Masikini Manji, hii ndio Bongo!

    Hebu tuambie yuko wapi ?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Muongoza Watalii na Mkalimani feki wa mtalii anaswa

    Ahahaha.. Huyu jamaa alikuwa anatania tu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    All animals are equal but some are more equal than others
  9. L

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Sasa Papa limenaswa kwa ndoana. Makonda utaweza kulivuta hadi ufukweni? Yangu macho
  10. L

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Hahahahaa.. "All animals are equal but some are more equal than others."
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa Kituo cha kati kwa kutoa maneno ya Kichochezi ya Uwepo wa njaa nchini

    Tundu Lissu atawasumbua hawa jamaa mpaka watamkoma. Anachimba shimo la kuingilia na la kutokea. Wataendelea kumpa lift ya kwenda Dar tu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kukojoa maji badala ya spam /mbegu shida ni nini?

    Eeh eeh eh! Unakojoa sperm? Acha kunywa madude yasiyoeleweka. Kunywa maji mengi we baba
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya! Wakenya!.... Naona sasa hadi Darassa mnataka awe wenu!

    Ila kweli kwa Wimbo huu Darassa anasound kama mkenya
Back
Top Bottom