Recent content by lugutu

  1. L

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Je Star times mmeondoa huduma ya Local channels kuwa free kifurushi kikiisha?Maana siku hizi kifurushi kikikata inabaki safari chanel pekee???
  2. L

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Yaani hizi thread zinaunganishwa hadi inaudhi.vichwa vya habari kibao ukifungua picha ya prof na taarifa ya aina moja.
  3. L

    Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    sasa hela hamjaleta afu mnapiga mabomu watu na kuwapeleka lock up.Mnatumia hela kujaza mafuta kwenye defender na kujaza mabom risasi na maji ya kuwasha zote hela hizo ila hela za mambo ya msingi hakuna!!! AU mtasema CHADEMA wanahusika na huu mgomo??? yaani inakera....Na nyie wabunge mmekaa...
  4. L

    Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    yaani hii nchi wenye matukio ndo wanautaka urais.Mwingine nae katuletea MB 8 afu kajiona creative kichizi na cybercrime law afu anajiona anafaa kuwa rais. HOPELESS SYSTEM and hopeless country
  5. L

    Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    Halafu huyo Naibu waziri wa fedha ndo anautaka urais wakati juzi kadanganya kuomba msamaha hela zishafika!!!Hili limemshinda ndo ataiweza nchi??PM katuma RC na N/W wa afya hawajatoa ufafanuzi wowote wa kueleweka afu yuko kimya watu wamepigwa mabomu.nae anautaka urais!!!
  6. L

    Alama Rasmi ya Chama cha ACT-Wazalendo - Toa Maoni Yako

    ACT muache kushusha hadhi ya JF kwa kuanzisha viuzi kila siku
  7. L

    ACT-Wazalendo njama za kuharibu mikutano yao Singida

    ACT ni kama kero na taka JF
  8. L

    ZITTO: Msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Ushirikiano wa vyama

    habari za ACT zinaboa aisee...yaani JF kama ndo notisi board yao...aarghhh kila siku wao tu mwisho watatuwekea ratiba zao za kulala na kuamka
  9. L

    Tundu Lissu avurugwa.

    njia nzuri ya kunyamazisha upinzani ni kutoa hoja zenye mashiko na sio vijembe na matusi kama wanavyofanya chama tawala,kwani wanawapa umaarufu hao kina lissu.Kama vipi chama tawala kingezuia baadhi ya memba kuongea coz wanaleta confusion badala ya kujenga hoja thus wanashusha hadhi ya...
  10. L

    Upinzani kupoka Majimbo yote ya CCM jijini Dar

    naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa mnyika na mdee kurudi bungeni uchaguzi mkuu ujao???Mnakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa wa dar kilichotokea??Je mnyika na mdee wamekuwa effective kutimiza Ahadi zao na kutatua kero?
  11. L

    Mzumbe,UDSM&UDOM kipi bora

    unataka kusoma nini??Tembelea website za hivyo vyuo kwa taarifa zaidi
  12. L

    Ole Sendeka amsifia Tundu Lissu bungeni, amshauri rais Jk ampe uwaziri wa katiba na sheria!

    True ndo maana .....wana-fear kura ya siri coz wabunge wao watatumia akili zao badala ya woga afu ita-cost interest zao.
  13. L

    Ole Sendeka amsifia Tundu Lissu bungeni, amshauri rais Jk ampe uwaziri wa katiba na sheria!

    Kati ya watu ninaowakubali kwa sheria na kujenga hoja ni LISSU,Jamaa anajiweza.Ushauri mdogo tu apunguze jazba na hasira
Back
Top Bottom