Recent content by lugonopanja98

  1. lugonopanja98

    Mtu wa kwanza kunyongwa pale ICC natamani awe Mkuu wa Majeshi, bila huyu maelfu wasingeuawa

    Tesha alikua sahihi shida pale kwa Watipidii ni ***General ndiye aliyeyusha
  2. lugonopanja98

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ingia chomboni ukajionee mwenyewe usitake kulijua jeshi sana ukiwa nje zaidi tutapata habari za mtaani tu
  3. lugonopanja98

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hakuna mishahara hii polisi Mishahara ya polisi unalipwa kwa aina mbili kwa cheo na elimu (nayo inatofautiana kulingana na kada;afya,Tehama na nyinginezo) Mf. Form 4(Constable) analipwa wastani wa 460+ Form 6 (constable) analipwa mshahara sawa na koplo Diploma (Constable) analipwa sawa na...
  4. lugonopanja98

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Soon kuanzia mwezi wa kumi wanaweza kuja kuongeza nguvu mtaani
  5. lugonopanja98

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Kozi ya polisi ni miezi 12 katika semester 3 Sem1 (miezi 3)- masomo ya nje huko wanasoma judo,singe,kwata na silaha Sem2 (miezi 6)-darasani na hapo ni kitabu cha kufa mtu wanafanya assignment,test na mitihani ya mwisho kwa masomo kama 12+ hv Sem 3 (miezi 3) hapo ni field na mbinu za medani sifa...
  6. lugonopanja98

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna dogo langu ameitwa hivi Kuna utaratibu wa kukisanya simu pale shuleni au hatakiwi kukanyaga akiwa na simu maana ni mgeni kabisa hawajawahi kufika hata moshi
  7. lugonopanja98

    Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa shughuli zote za serikali, inakuwaje taarifa ya CAG inasema 'tumepigwa'? Usimamizi wake ni hafifu?

    Anayesimamia shughuli za serikali nje ya bunge ni Katibu mkuu Kiongozi sio huyo mmwera
  8. lugonopanja98

    Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

    Mara mnataka mtawale kama mlivyotawala jeshini [emoji41] maana majenerali zaidi ya 60% ni wakwenu
  9. lugonopanja98

    KWELI Passport ya Tanzania haikubaliki kutumika kama Kitambulisho cha taifa (National ID)

    Kuna wakati watu wanakataliwa kwenda kitambuliaho cha mpiga kura kwasababu mara nyingi huwa vunatolewa kisiasa zaidi
  10. lugonopanja98

    Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Akae akijua pia Sensa ndyo tafiti kuu ya nchi ndyo maana wamejaribu kugusa kila nyanja Ili kutoa kanzidata ya kila sekta
  11. lugonopanja98

    Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    1.kuhusu namba ya simu ni kwaajili ya maelezo ya ziada pale yanapohitajika mfano kuhakiki kama karani alichukua taarifa sahihi 2.kuhusu unaposhinda ni kujua uhamaji wa kati wa mchana mfano kwa DSM watu hutoka Temeke, Kigamboni,Ubungo na Kinondoni kwenda Ilala( kariakoo au Posta) serikali itapata...
  12. lugonopanja98

    Bukima imeripotiwa kuangukia mkononi mwa M23

    Kwani mama ndyo anaingia field [emoji4][emoji28][emoji23]si ajaribu tu tuone
  13. lugonopanja98

    Bukima imeripotiwa kuangukia mkononi mwa M23

    [emoji23][emoji1787][emoji23]
Back
Top Bottom