Recent content by lugoda12

  1. lugoda12

    Yanga na Simba nani anakwenda kuibuka mshindi?

    Hivi game ya tarehe 1 march 2026 Yanga na Simba uawanja wa Aman Zanzibar unafikiri au unahisi nani anaenda kuibuka mahindi siku hiyo? 🙆🏾‍♂️
  2. lugoda12

    Polisi: Ajali ya Shilole hajaripotiwa kituo chochote cha polisi mkoani Kigoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii wa TikTok ikidai Msanii wa muziki Shilole kupata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa safarini akitokea Mkoa Kigoma akielekea Mkoa Dodoma ambayo gari aliyokuwa akitumia kwa safari aina ya...
  3. lugoda12

    KERO Kero ya Maji

    "INGEKUWA"kama wewe ni Rais wa JMT ungechukua hatua gani kwa Mkurugenzi wa DAWASA kutopatikana kwa maji katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam?
  4. lugoda12

    Mambo ya wahisani

    Hata sehemu ya kuhifadhi mavi ya watoto wetu tunapewa msaada wa ujenzi wa choo na watu wa Canada. Watu wa Canada, wanavuja jasho, fedha zao zinakusanywa kuletwa kwetu ili tujengewe vyoo vya kulenga. Hamtaki waseme? Wakijenga vyoo ni marafiki. Wakisema acheni uduanzi ni mabeberu.
  5. lugoda12

    Ujumbe wa faraja

    “Tumepitia mambo ngumu sana kama taifa, na wengi wamepoteza walio karibu nao. Pole kwa familia zote zilizoathirika maumivu yenu ni ya kweli na yanaguswa na wengi. Katika wakati huu majonzi yakiwa hayajaisha, tuendelee kushikana, kutiana nguvu na kulinda utu wetu. Tuwafariji walioumizwa na...
  6. lugoda12

    Miaka ijayo akili ya Lissu inaweza kusemwa ni AI

    Ipo siku miaka zaidi na zaidi ijayo hii akili kubwa ya Mh.Lissu watu watabisha na kusema ni AI. 😂
  7. lugoda12

    Wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni?

    Hivi kama wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni? 😂
  8. lugoda12

    Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

    Hivi hii inshu ya bwanamdogo (DogoJanja) kumpiga risasi ya mguu jamaa mmoja aitwaye Bakar imekaaje? Kuna baadhi ya majibu ya Jeshi la Polisi yanasema eti Dogo Janja alikuwa anajihami baada ya kuvamiwa.
  9. lugoda12

    Simba yapewa ruhusa rasmi kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa kuelekea Dabi Juni 15

    Simba SC rasmi wamepokea barua kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuruhusiwa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Mkapa hapo kesho Jumamosi.
  10. lugoda12

    Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

    Ubaya Ubwela nao msimamo wao uko pale pale hawataki mambo ya ajabu!😂
  11. lugoda12

    Simba watoa msimamo wa Dabi, wasema mechi na Yanga ipo Juni 15 kama ilivyopangwa

    Kumekucha, mjini kumechangamka! 😂⚽ Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama ulivyopangwa. Tunawasihi msihadaike na kelele za mitaani, Wale ambao walinunua tiketi za mechi ya tarehe...
  12. lugoda12

    Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!

    Nilijua tu TAHARUKI itatokea, lakini ebo tuwe wazi ni kweli Percy Tau umri wake kwa sasa wa kucheza Yanga?😜
  13. lugoda12

    Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!

    Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!😂
Back
Top Bottom