JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Natafuta mke mgumba
Kwa miaka yangu hii 39, nimebahatika kuwa na Watoto 3, na kutalikiana na mama yao mahakamani mwaka moja na nusu sasa.
Kama inavyo sema biblia” afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa” 1 Wakorintho 7:1-2.
Natafuta dada wa miaka 35 na kuendelea, wa dini yoyote, kabila lolote mrefu kiasi mwembamaba...