Nakubalina na waliotangulia na kutaja umbo la ndege na uzito mwepesi kuwa ni vitu muhimu. Mie naongeza mambo mawili kiundani ya hayo
1. Kwa upande wa biologia wepesi wa ndege unatona na '' bone marrows" sijui kiswahili zinaitwaje ila kama nimlaji makini wa kuku na bata utaona utakinpasua mfupa...
Inawezekana sio system tu, ila watu ndio wenye shida. mana nafikiri katika bank ambazo watanzania wamejisau kuwa wao sio makaburu ni NBC. Hata wao wenyewe kwa wenyewe wananyanya sana mie nishuhudia ni uonevu tu. Nikujisahau tu,
Nawashauri tu wafanyakazi wa NBC msijishau sana dunia ni kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.