Recent content by Luft

  1. L

    Nimeamua kuwa Atheist

    Kwenye maelezo hayo (yako), kwa upande mmoja ni masimulizi ya biblia na kwa upande mwingine ni uelewa wa mambo na elimu ya vitu. Hili la mwisho ni muhimu zaidi katika kuelewa biblia, ambayo ni msingi wa mafundisho mengi ya dini, na kwa kweli neno Mungu. Sasa basi, neno upendo maana yake ni...
  2. L

    Nimeamua kuwa Atheist

    Sifa ya imani tofauti na kusadiki, lazima ithibitike kweli. Jambo ambalo halijathitika kweli haliwezi kuwa imani. Usichanganye imani na kusadiki (Faith and belief).
  3. L

    Nimeamua kuwa Atheist

    Nini huthibitisha kuwa jambo linalosemwa lipo au halipo? Uthibitisho maana yake ni nini?
  4. L

    Serikali ianzishe program ya watu kuchangia kwaajili ya uzee. Iitwe KIZAZI SALAMA FUND (KSF). Ili Kila Mzee wa Tanzania alipwe posho kwa mwezi

    Matatizo tunayoyaona au yanayotupata uzeeni yanatokana na sababu nyingi. Sababu kuu ni kujiingiza katika mambo ambayo hatukuwa tunayajua vizuri. Sasa, kwa hoja hii ni wazi tutatengeneza matatizo makubwa zaidi. Kwa nini? Kwa sababu kama wazee wanapata matatizo ya kifedha uzeeni tafsiri yake...
  5. L

    Kauli ya people power IPO kisiasa. Hakunaga nguvu ya umma mbele ya wenye silaha hata wawe Mia moja tu

    Mwandishi anataka wasomaji wakubaliane na maoni au uzoefu wake binafsi. Hoja yake ni propaganda nyeusi. Na kwa kweli mwandishi ama ana tatizo la ujinga au ameandika kwa lengo la kupotosha.
Back
Top Bottom