Hivi huyu Ghasia anaghasia kweli. Hivi kumsakama Warioba na kumwambia afunge mdomo wake yeye haoni kwamba ni matusi kwa wazee. Warioba anayohaki ya kujibu mapigo kwani yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa katiba hiyo ni haki atoe majibu. Hawa Ghasia jenga hoja nasio kutukana na kukashifu wazee wa...
Wewe kiumbe wa ajabu kwenye hili taifa mambo ya udini na ukabila unapenda sana. Hiyo ni propaganda tu. Ukweli upo na unaufahamu. ACT ni mdudu gani? Hakina umaarufu huo hata kwa asilimia 0.0001
Zamani mtu kuwa na mvi au nywele nyeupe ni dalili za busara na hekima aliyonayo mtu huyo, lakini siku hizi kuna nywele / mvi za bandia kama za wasanii akina Masanja. Kwahiyo sio ajabu kumuona mtu mzima anaongea pumba wakati huu kwani majira haya nitofauti na zamani. Mwisho wana Jf mkumbuke...
M2 NI Henry Kilewo
Kwa maneno ya huyu mwanamke yanadhihirisha wazi m2 sasa ni Kilewo. Hili linahitaji uthibitisho kutoka kwa Kilewo mwenyewe. Lakini kunyamaza au kuendelea kunyamaza kimya hakuta msaidia sana. Mimi ninaamini M2 ni yeye.
Hapa Joyce Kiria kateleza au hafikirii kwa kutumia kichwa. Kwani kuwa kiongozi sio ufakatifu kwamba wananchi wanahitaji mtu mtakatifu ili awaongoze. Kuna kiongozi aliye wahi kuwa mashughuri kama Nelson Mandela, aliyefungwa jela miaka 27. Mandela huyu maisha yake ameshakaa na wake watatu hadi...
Hakuna chakuathirika kwa chama kwasababu hakuna mtu aliye juu zaidi ya chama. Wakuu zzk ana muda gani sasa hajafika ofisi za chama Ufipa. Basi kama yeye ni zaidi cdm ingesha kufa kwa muda wote huo karibu mwaka mzima ambao zzk hakuwepo kimawazo na kimwili katika chama. ili mbegu iote ni lazima...
Hapa naona huyu dr Kitila Mkumbo kweli kichwa yake haiko sawa na huu udaktari sijui aliupataje. Ni hivi karibuni alikana kuhusika na uongozi Chadema pale alipovuliwa ukuu wake katika chuo kikuu DUCE. Sasa anapotoa mada kama hiyo anataka kutuaminisha nini sisi watanzania? Siasa za kweli hazitaki...
you know this condition wont only affect Tanzania but also kenya. because animals have a tendence of moving due to weather changes so if poachers will kill inTanzania animals will still shift. the only solution is to fight these poachers together or we will all loose these animals.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.