Recent content by ludevu junior

  1. ludevu junior

    JamiiForums Tanzania Wassira amruka Makamba, asema huenda alibebwa yeye

    Mimi naona Makamba na Mzee Wasira waache hayo kwani bila Mzee Makamba, January angekuwa sana na mimi tu, na Wasira bila kasi ya Magufuli leo angekuwa waziri. Wote wamebebwa nna mifumo.
  2. ludevu junior

    JamiiForums Tanzania Dkt. John Magufuli amuapisha Balozi Eng. John Kijazi

    Kwa kuwa mimi namuunga mkono Magufuli, naacha afanye lenye tija kwangu
  3. ludevu junior

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Nataka kujiendeleza kielimu lakini sijui nisomee fani gani ambayo ina soko la ajira la uhakika? Binafsi nimefanya QT 2010, na nikachukua Foundation course pale Open University kwa ajili ya kusomea sheria lakini naona kama itanisumbua mpaka nije kujulikana. Hivyo nafikiria kusomea IT and...
  4. ludevu junior

    JamiiForums Tanzania Mtitu: Sababu ya kuamua kuzambaza filamu zangu mwenyewe badala ya kuuza Steps Entertainment

    Hongera kwa uamuzi wa busara, jitahidi kuwasaidia wengine ili wasinyonywe pia nawe wakati unawasaidia pata faida kwa msaada wako lakini usiwanyonye. Na mimi ni scriptwritter ninatafut pa kuanzia tusaidieni.
  5. ludevu junior

    JamiiForums Tanzania sheria

    Nitakupa feedback, shukrani sana
  6. ludevu junior

    JamiiForums Tanzania sheria

    Thanks a lot guys, nafikiri hilo la kunywa bia, huwa linanisaidia sana, japo sio mbili kama alivyoshauri ndugu Oil Sumu. Bado napokea comments
  7. ludevu junior

    JamiiForums Tanzania sheria

    Natamani kuwa mwanasheria lakini nina tatizo la kutetemeka ninapoamua kusimama ili niongee mbele za watu, je nifanyeje kuondokana na tatizo hili?
Back
Top Bottom