Recent content by Luckz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaojichubua ngozi mnaniudhi na mnakera mno

    mmpe pole mwaambie wengine tuna uzur wa kuzaliwa nao....haiihitaj kukaa karib hata kwa mbal unaonekana.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaojichubua ngozi mnaniudhi na mnakera mno

    black beauty....... najivunia rangi yangu....!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nilinyanyasika kijinsia

    teheeeeee heeeeee uwiiiii
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nahisi ananipenda na mimi nampenda sana ila bado hajanitamkia,nimtamkie mimi?

    wala hujachelewa,mie mwenyewe 29 ndo kwanza npo single na bado mvuto upo,ukiniona kama 19..nakuombea kwa mungu umpatee
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rate your lover here, be free to express your feelings to him/her

    teheee mwenyewe natafuta pia.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni halali mume na mke kuangalia sinema za ngono pamoja?

    teheeeeeee heeeeeee uwiiiii,asantee umenifanya nicheke!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ninawauliza Swali: Eti Kuna mama wa kambo mzuri duniani? Ninawaombeni munijibu swali langu

    wapo mm nawajua wengi tu,wanaishi vzr na watoto wa kambo yaan hata huwez kugundua kama hajawazaa yy.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungechukua maamuzi gani? ilihali bado anadai anakupenda na anakuhitaji

    Pole saana,nakuonea huruma...teheee njoo kwangu nkuliwaze
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? ukimuhitaji hakuhitaji na usipomuhitaji anakuhitaji

    usikatee tamaa amin yupo aliye wa kwako,kosa kubwa n kukubal ku ngonoka nae tena,kikubwa n msimamo tu.mm wakwangu nlikaa nae miaka 5 alniacha bila 7b lakin nlisema sitommbembeleza nlmuacha akaenda,aljua tukiachana ntachuja ndo kwanza mwaka umekatika nazid kunawir na v hips vimetoka,saiv anarud...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano; baada ya kutaka kumshauri nilitaka kumtukana

    kwann mnapenda kuzihak rangi nyeus??unafikir kila mweus n mmbaya??ningekua na weza ningeweka picha yangu hapa usingekaa uzihak tena rangi nyeus,anyway endelea kuabudu makaburu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wamama/dada zangu wafuga kucha mnawezaje kujisafisha sehemu nyeti?

    umemtus mpaka mama yako,na mkeo(kama unae)na dada zako,hv huon hata aibu kusema wanawake wachafu,ww ulvyozaliwa ulkua unanawishwa na baba yako??fyuuuuuu!
  12. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    nlrejea mishale mibaya kabisa,nkaambulia kipigo haswa lakin nkawa huru kuanzia hapo,nkawa nkienda band naaga,na sijaacha kwenda naenda mpaka leo.
  13. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    R.I.P aisha mbegu,ulfanya nkatoroka nyumban mwaka 2005 kuja kukuona triple A,mlvyokua mnazindua albam yenu ya safari 2005.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni haki kuchoma picha za Mpenzi wako wa zamani na kumtangaza kwa mabaya?

    tena kama huyu nyang'au wangu ndo sitak hata kuliona,fyuuu umekaa na limtu for 5yrs mnaachana ananitangaza kwa marafik zake kwa mabaya tu,naliombea hata likufe fyuuu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

    haya ushamnyoa na chupa kakalia,mumewe ndo ataacha michepuko??amuulize yule mwenzie alietoka dar kuja kufumania arusha akaambulia talaka,Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Back
Top Bottom