Recent content by luckyboy_360

  1. L

    Form six leavers

    Wanoadharau UDOM naona bado hawahaelimika kabisa....siku zote mwanzo ni mgumu...so wanaoponda waendelee kuponda tu ss tusoma hapo na tutahitimu na tutapiga kazi kama kawaida
  2. L

    Form six leavers

    Unajua mm naamini ukishamaliza mitihani unajua kwamba utafeli au utafahulu kutegemea na jinsi ulivyofanya mtihani bila kuangalia madaraja...na niamini kuna wengine wanashauku kujua habar mbalimbali za vyuo wanavyowish kwenda kusoma thats way am introducing this thing now...
  3. L

    Form six leavers

    Hivi unafikiri kupata division one ndo kufaulu? Unatakiwa ukumbuke kuwa hayo ni madaraja tu....haimaanishi kuwa mtu akiwa na division three amefeli....na ujue kuwa kupata duvision one ndo kunyesha kuwa unajua sana....na swala la chuo usidharau kwa ww maybe upo chuo kizuri...swala la ajira...
  4. L

    Form six leavers

    Kama mtu unaswali kuhusu udom just ask
  5. L

    Form six leavers

    Kaka ww wa vyuo vingi unapenda kuchukua degree ya nn
  6. L

    Form six leavers

    Ww wa MD karibu japo mm sipigi huko ila ni majirani zetu
  7. L

    Form six leavers

    Popote elimu inapatikana na kufshulu inategemea na jitahada zako
  8. L

    Form six leavers

    Ur welcome at udom...life is so cool with good facilities..so usikilize ya watu...na ujue kuwa elimu popote..na usifuate mkumbo...
  9. L

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mwenyekujua jinsi ya kuunganisha internet ya 3G ya Vodacom naomba msaada...natumia simu ya huawei ascends y330
  10. L

    Msaada, mwenye notes za Chemistry

    Mwenye notes za general chemistry,in organic chemistry, organic chemistry na basic analytical chemistry za aina yoyote za first year naomba anitumie my e-mail is thomasnyarutu@yahoo.com,
  11. L

    Undergraduate first year transfer

    Wanaosema udom ni chuo cha kata wanato.......!!
  12. L

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Field za bachelor of science in chemistry unafanyia wapi?
  13. L

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Vip kuhusu bachelor of science in chemistry?
  14. L

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Wale wenye uelewa na bachelor of science in chemistry naomba anijuze vizur, kwa kuniongezea maarifa kwa upande wa soko la ajira imeekaaje
  15. L

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Kufungua a/c hapo inakaaje chuoni hapo
Back
Top Bottom