Nishasema kutoa hoja kwa jazba wengine hatuwezagi kaka Mnachihanguuu watu huwa hawabishani kwa matusi. Kigoma kwetu ni wabishi sana lakini sio kwa matusi. Kutumia matusi ni dalili za kwamba unaambiwa ukweli na huwezi kujitetea. Namkubali Mwachiluwi ni mwelewa
Sasa nidanganye ili iweje kwani nalipwa au mpaka nikuletee post nilizopost Twitter kulalamikia mazingira ya Mtwara hata kabla ya kuona huu uzi. Ila nakuacha sababu tuko hapa kujenga sio kubomoa
Now unaongea point, nadhani umepata picha sasa ya kitu kinachoongelewa kama ni hivyo sawa. Lakini kiujumla mambo ni mengi kuna mwingine haraka haraka atasema eti tunajikweza kwa standard hapana. Kama mimi ni Mtanzania wa kawaida mno nimetokea mkoa wa kimaskini Kigoma. Nimeishi Geita, Mwanza...
Kaka hao hawako Mtwara, siku moja mimi niko shooters siku ya mwaka mpya eti nataka kutoa hela hamna vibanda vya Mpesa usiku saa7 ilinilazimu nitoke na boda 3k mpaka roundabout ya mnada wa mbuzi huku ndo nitoe hela maana haikuwa benki ilikuwa wenye simu. Yaani nilikuwa natukana njia nzima kudadeq...
We jamaa, anaongelea maisha ya kawaida ya Mtanzania, we nae jau tu. Sasa unategemea labda mimi nina kipato cha laki3 kwa mwezi nifike sehemu nichukue lodge ya 50k per day.
Hapa nakuunga mkono, Mtwara ni katika mikoa ambayo naiona tofauti kabisa na mikoa yote niliyowahi kuishi. Sijawai kukaa mkoa wowote nikaona jau kama Mtwara, nilizani pekeyangu nasemaga hivyo kumbe tuko wengi. Mimi nina miezi kama 7 hivi nakomaa tu sababu ya kusaka Tonge lkn sio sehemu ya kuishi...
Sio kwa ubaya
Swala la ukarimu hiyo sifa ya Tanzania nzima, sasa hivi niko Mtwara, nina kama miezi mi5. Nilichojifunza
-Wamakonde hawajui kujielezea sijui wanaogopa nini nimetumia kama miezi kadhaa kujua kwamba ukimuuliza kitu usitarajie kupata jibu la moja kwa moja aidha akudanganye au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.