Recent content by Lucky Star

  1. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa kifalme haufai Tanzania?

    Aseee!!
  2. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa kifalme haufai Tanzania?

    Tukimaliza rotation ya makabila tunaenda kwenye dini kabla ya kufanya rotation ya m_Zamzibari na m_Tanganyika. Kasheshe yake siyo ndogo.
  3. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kuvaa nguo fupi inatafsiriwa ni uhuni ama umalaya?

    Wewe unatokea kwenye hayo mataifa?
  4. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

    Na bado anakopa, sijui kama anajua thamani halisi ya madeni hayo
  5. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

    Tiba ya hiyo kitu ni kutojibu, akikuuliza sababu mwambie hujaelewa
  6. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

    Ajabu sigara haifanyiwi promo na inauza. Nadhani kuna vitu tuliaminishwa vibaya thamani zake.
  7. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Aina mpya ya utajili inayokua kwa kasi sana: DIGITAL ASSETS.

    Kuna kipindi zilipitishwa sheria za ovyo kwa wamiliki wa YouTube channels, Online tv na platforms zingine kwa ili kukidhi matakwa ya kisiasa. Faida za upande wa pili hazikutazamwa, kwani mamlaka zingeweka utaratibu mzuri wa udhibiti & usimamizi huku zikikusanya mapato. Internet ni biashara...
  8. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!

    Unapoliombea taifa ni lazima ukemee maovu. Shida inakuja, pale unapomuomba Mungu akomeshe uovu wakati ukimtaka awabariki wanaofanya uovu uendelee kuwepo katika jamii. Ni lazima kujifunza unafiki kwanza ili kufanikisha maombi kama haya.
  9. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu akutana na katibu mkuu wa TEC Padri Charles Kitima

    Yemen, Syria, Palestina, Afghanistan, Pakistan, Iraq, UAE, Jordan etc. Sihitaji maelezo mengi😂
  10. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Umeandika mengi, yenye kuibua tafakauri na maswali pia. Lakini bado wasomaji wa andiko hili watataka kujua. Nje ya sheria mama (Katiba) na sheria zingine watu wachague lipi. 1. Kuanza na katoba mpya ili wasizifanyie unafiki nafsi zao wa kumtambua bila kujali utaratibu umemkataa? 2. Kuendelea...
  11. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Kama ni kweli iunganishwe kwenye taarifa ya matukio ya kikatili wanayotendewa wana harakati na wadai haki yaliyowahi kuripotiwa. Huu ni ushahidi muhimu sana.
  12. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mimi ni Mpemba mwenzenu, nimekuja kuomba Kura

    Kampeni za rushwa, udini na ukabila.
  13. Lucky Star

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Kirumba lazingirwa na Polisi kisa Mkutano wa CHADEMA, baadhi ya watu wamekamatwa

    Ule ni uwekezaji/kitega uchumi cha kanisa. Hivyo hata wewe unaruhusiwa kukodi na kutumia kwa shughuli zako.
Back
Top Bottom