we nae una akil kabisa kwan kila mtu c anasoma kitu ambacho anakiweza yeye umesoma sayansii umependa ujalazimishwa
[Qnawe UOTE="TheDealer, post: 16942684, member: 110303"]Duniani na mbinguni hili linaeleweka kabisa bila mawaa! Kamwe masomo ya sayansi hayajawahi kuwa na uzito sawa na masomo ya...
we yan kwa uchungu nilionao nmetamani nikutukane ila mi nikwambie to haya maisha to we uliyepiga misuli ukapata AA hongeraa endelea ila iko siku Mungu atakudhirishia kuwa ukipata usidharau wengine ovaa
na kijana wa miaka iyo akuwa anandkia jamiiforum
UOTE="The bold, post: 16929904, member: 141659"]Ndio uandikaji gani huu!! Miaka hiyo ukimkuta kijana hata kama ameishia darasa la tano alikuwa haandiki hovyo kama hivi.. Hiki kizazi cha ajabu sana
kijana wa
haahaa we unacgekesha kwel yaan amna nchi ambayo hamna qualifucation angaliaa unachojibu huku hmna mtoto wote watu wazima OTE="Barbarosa, post: 16924795, member: 284899"]Huko nchi nyingine ulizozitaja hakuna standard ni swala na fedha tu, ukiwa na fedha hata kama umepata sifuri (0)...
we vip kasemaa hana vigezo au kasemaa tujadili kaul ya ndalichako ya kutoitambua E wakati TCU wameweka kama kigezo cha kufikia 4 point utumie akil sometme sio unakurupuka kujibu vitu visivyo na msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.