Recent content by luck_martine

  1. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Kusajili VAT (VAT registration)

    Pengine ulikua hufahamu kwamba kuna umuhimu wa kusajiliwa VAT na kuwa na VRN(VAT Registration number?! Okay soma hi Mfanyabiashara mwenye matamanio ya kukua zaid kwenye kibiashara yake anahitaji VRN imsaidie kwenye • kuomba tenda za kazi zake haswa kwa wale suppliers. VRN inakuongezea credit...
  2. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili katika mfumo NeST kama Mzabuni

    Karibu tena
  3. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili katika mfumo NeST kama Mzabuni

    Labda ni tatizo la kimtandao, jaribu kuhakikisha mtandao upo vizuri
  4. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili katika mfumo NeST kama Mzabuni

    Kama unachangamoto kwenye kujisajili wasiliana nasi kupitia whatsapp 0711697881 au piga 0612885532, karibu
  5. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Ritani ya mwisho ya kodi ta ya mapato 2023

    RITANI YA MWISHO YA KODI YA MAPATO Mfanyabiashara binafsi mwenye mauzo ghafi kuanzia shilingi milioni 100 kwa mwaka au kampuni au NGOs wasilisha ritani ya mwisho ya kodi ya mapato ya mwaka 2022 kabla au mnamo tarehe 30. 06. 2023. Wasilisha ritani kwa wakati kuepuka adhabu. Call 0612885532...
  6. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Huduma za kuwasilisha Ritani na ulipaji kodi

    Huduma za kuwasilisha Ritani na ulipaji kodi KWA HUDUMA YA HESABU ZA KODI (FINANCIAL REPORT) RITANI ZA TRA (TRA RETURN) RITANI ZA VAT (VAT RETURN) SDL, PAYE, WCF KWA HUDUMA YA MAKADIRIO YA KODI (TAX ASSESSMENT) E-FILLING Aidha, Pia nawakumbushia tarehe ya ulipaji kodi kwa awamu ya Pili, na...
  7. luck_martine

  8. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Toa risiti kidigitali ukiwa na mfumo wa Dirm VFD kwa kutumia simu yako au laptop

    MAELEZO JUU YA UTOAJI RISITI KIDIGITALI UKIWA NA MFUMO WA DIRM VFD KWA KUTUMIA SIMU YAKO AU LAPTOP YAKO. DIRM VFD ni Mfumo unaotumia teknolojia ya kisasa inayokuwezesha kutoa risiti halali za EFD kidigitali Kwa kutumia Simu ya mkononi au kumpyuta* Sifa za kipekee za DIRM VFD . Bei ni nafuu...
  9. luck_martine

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili katika mfumo NeST kama Mzabuni

    Jinsi ya kujisajili katika mfumo wa NeST kama Mzabuni Fuata hatua zifuatazo; 1. Ingia kwenye Tovuti: www.nest.go.tz 2. Bofya 'Register as a Tenderer' 3. Chagua nchi kwa kubofya 'Select Country' 4. Ingiza namba ya simu na barua pepe, bofya 'Register* 5. Fungua jumbe uliotumwa kwenye barua...
Back
Top Bottom