Recent content by lucasm00

  1. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni siku ya 3 taa ya airbag haizimiki

    MREJESHO :tatzo ilikuwa ni sensor kwenye kiti cha abiria mbele inakaa kweny kiti ina detect pressure mtu akikaa afunge mkanda ndio ilikuwa imekufa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni siku ya 3 taa ya airbag haizimiki

    Haikuigusa popote zaaidi ya brake na betri tu mkuu...nipo Dodoma ....Wenyeji wa Dom mwenye kumjua fundi mzuri
  3. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni siku ya 3 taa ya airbag haizimiki

    Gari yangu aina ya Raum 2nd generation niliipaki kama week 2 ilikuwa na changamoto ya brake system nzima na kwa bahati mbaya ikasababisha mpka betri kuwa low maana gari ilikuwa aitumiwi majuzi imetengenezwa brake system nzima na betri ku boost na shangaa taa ya AIRBAG ina blink fundi...Fundi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    Daah nakumbuka nilishindwa kufungua boot la Crown mpaka nikaita fundi
  5. L

    JamiiForums Tanzania 2023 Toyota Crown

    Chuma ya ukweri na wametoa crown suv na crossover kila soko limepate Crown yake
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

    Sure... kuna mwanangu mmoja taasisi mmoja ya serikali imekodi eneo lao mwana ahh bill za mia 6 mia 7 zinalipwa kawaida tu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

    Gari nzuri kama walivosema wadau apoo juu ina space ndani Changamoto yake labda tu mlango wa kushoto nyuma ni rahisi sana kuharibika
  8. L

    JamiiForums Tanzania Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

    Daah si bei ya vanguard kabsa kali
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2013 CC 2180

    Kweri kiongozi Inshallah December chuma kitakuwa bongo
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2013 CC 2180

    Shukrani kiongozi lakini kwa miaka ya saizi ishu ya umeme na vipuri sio tatzo sana kwa Tz ata madealers wapo wengi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2013 CC 2180

    Habari wakuu..! Naomba mwenye uzoefu na hii gari kwa ujumla naoona imekaa poa ata kodi yake ipo vizuri.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Pharmacy VS Medicine (MD)

    Acha pumba au umesoma KIU
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

    What if zikiwa ivo unlocked mkuu maana kuna mtu kaniambia anataka anitumie kutokea njee
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    Sure kuna mzee wetu uku afisa mkubwa tu wa police tumemzika kwa majibu tu ivi ivi ya kirahisi
  15. L

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

    Shukrani
Back
Top Bottom