Recent content by lucas sj

  1. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nimfanye mpenzi wangu ajisikie kwamba namjali !!!

    Miaka 8 mna date?!?? Mnadate nin miaka yote hio?!
  2. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Nimekupata mkuu
  3. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nielekeze mkuu namna gani ya kufika huko nataka niwe naishi nazo
  4. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Hahaha hatari sana
  5. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kila siku huwa napitia humu ndani,lakin sijaona soucre ya kuaminika ya mtu anaeuza odds za ukweli Natafuta odds niwe nanunua, maana nakuwa bize sana kiasi nashindwa kusuka mwenyewe mkeka wangu Si lazima awe mtu, hata kama kuna apps mnaifahamu ya kueleweka basi mniambie Natumia betpawa...
  6. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    vip sumsung hizi toleo za kuanzia 2019, hizi note 10+, s21,s22 n.k vip nazenyewe zinaweza kubadilishwa EMEI number kirahisi??
  7. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Mkorinto , vip sumsung hizi toleo za kuanzia 2019, hizi note 10+, s21,s22 n.k vip nazenyewe zinaweza kubadilishwa EMEI number kirahisi??
  8. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Nina tumia sumsung note 10+ hizi features zipo...ninaweza kuscan bila kutumia app kwa kutumia tu kamera ya kawaida Lkn pia internet haikatiki kama hio ifoni yako
  9. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante sana,,, leo nimechelewa ,,nitaku PM ili ile kesho nipate odds mapema
  10. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuuu mm sio mzoefu, ila huwa najaribu jaribu na kila siku nakosa... sasa sina tamaa nataka kukuza mtaji nahitji odds chache hata kama ki timu 3 lkn uhakika kila siku walau nikuze mtaji. Mnanisaidiaje?!
  11. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini simu nyingi siku hizi haziwekwi H+?

    Note 10 +
  12. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini simu nyingi siku hizi haziwekwi H+?

    Sumsung note 10÷ ipo ina 5G
  13. lucas sj

    JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wasabato wenzangu: Tunakosea sana

    Rekebisha Wasabato sio wakiristo, hawafuati maagizo ya kristo, bali wanafuata maagizo wakiyopewa wayahudi. Hata wao wanajua hilo
  14. lucas sj

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya pombe tunazouziwa kwa bei ndogo ni methanol au ethanol

    Je wine zina Methanol au zina Ethanol.?!
  15. lucas sj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Boss, nimeku PM
Back
Top Bottom