Recent content by lucas ngoto

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    Uuuuwiii jamani hawa ni majambazi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila mwana CCM anayehisi kunyimwa nafasi kugombea ukimbilia CHADEMA?

    Unapougua unakimbilia hosptal au ukiwa na njaa unatafuta chakula
  3. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya Serikali kufilisika na yanayoendelea ndani ya Wizara ya Fedha!

    Hivi nyie ccm mkiimaliza hii nchi mtahama si ndio
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mikakati kabambe ya Kinana yaanza kulitikisa Jiji la Mbeya

    Kumsikiliza mtu ni jambo ligine kumuuga mkono ni jambo ligine.ikubukwe kila mtu ana haki ya kusikiza na kusikizwa,si utwambie pia gharama iliyotumika kuwaalika hapo inawezekana kila mtu kalipwa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

    Ee jamani yaan ssm hawana huruma kutumikisha wazee hawa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Revocatus Babeiya: Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Missenye na Mwalimu wa Shule ya Serikali!

    Ccm mtumishi akiwa kwao havuji sheria awe wa cdm utasikia vifugu vya sheria vikisomwa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Revocatus Babeiya: Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Missenye na Mwalimu wa Shule ya Serikali!

    Kuna mwingine ni mwenyekiti kata yabumera huku tarime
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vijana watano (5)wauawa na polisi Tarime.

    Hapa kwa sasa kuna viogoz wakubwa kwa sababu ya uziduzi skondar nyamwanga ngoja tusubiri matamko yao
  9. L

    JamiiForums Tanzania Vijana watano (5)wauawa na polisi Tarime.

    Badala mgd kuleta baraka imekuwa balaa kwetu wanatarime
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vijana watano (5)wauawa na polisi Tarime.

    Mmoja amefia hspl saa 2 uck na nimeondoka hata hajapelejwa mochwari
  11. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Ccm vp hapo
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini

    Mungu pekee anaweza kutuepusha na yote
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini

    Cku zimebaki ndogo ili kuumaliza mwaka huu ni vizuri tukawa makini make shetan hunywa damu za watu nyakati kama hizi tumwobe mungu kila wakati atuepushe
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

    Karibu tarime tena useme hayo maneno yako au umesahau
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Posho: Majibu kwa hoja nyepesi za Lema

    Nimesomamo tu
Back
Top Bottom