Recent content by lucas myula

  1. lucas myula

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    kasome sheria za nchi afu urudi tena utuambie kama kanuni ya adhabu imeonesha kuwa kumshutumu mtu ni kosa.
  2. lucas myula

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NACTE kufanya uteuzi

    jamani naombeni msaada nimesoma chuo cha Kampala ngazi ya certificate in public administration nikaomba nacte niendelee na diploma ya kitu kingine yani diploma ya community development Ila sijachaguliwa ,..nifanyeje?.hivi ni lazma kusomea nilicho soma certificate?
  3. lucas myula

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitangaza katika biashara ya ushereheshaji (master of ceremony)

    Naombeni msaada jamani, Naendesha biashara yangu ya ushereheshaji ila nafahamika eneo dogo na napenda kuipanua zaidi kufikia ngazi ya mkoa ama mikoa nifanyeje kujitangaza na kuongeza ujuzi wa ishu hii? Naombeni msaada wa mawazo
Back
Top Bottom