Jinsi ya kujitangaza katika biashara ya ushereheshaji (master of ceremony)

lucas myula

Member
Mar 28, 2014
8
45
Naombeni msaada jamani,

Naendesha biashara yangu ya ushereheshaji ila nafahamika eneo dogo na napenda kuipanua zaidi kufikia ngazi ya mkoa ama mikoa nifanyeje kujitangaza na kuongeza ujuzi wa ishu hii?

Naombeni msaada wa mawazo
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,557
2,000
Waweza kuitumia JF vyema kujitangaza na kukuza wigo wako ndugu lucas myula

Fungua: Matangazo madogo

Anzisha thread na ipe maelezo ya kutosha kuhusu shughuli yako. mfano

- Unapatikana wapi?
- Ghalama zako ni kiasi gani kwa saa?
- Mawasiliano yako
- Huduma nyingine unayotoa sambamba na ushereheshaji mfano: Kutoa vifaa vya mziki, wapambaji, Chakula n.k

Pia ingia kwenye Profile yako edit SIGNATURE na weka huduma unayotoa na mawasilano yako.

Ukijitangaza vyema hapa JF utakuwa umewafikia wadau mikoa yote.

Karibu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom