Recent content by Lucamhindi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Naomba muendelezo wa 8
  2. L

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Kigamboni kinafilisika?

    Mi nadhani bado kuna haja ya kupaza sauti kama kweli yanatendeka basi hatua zichukuliwe,mm ni mdau nmesoma hapo kipindi chuo kinabadili jina sisi ndio wanafunzi wa kwanza ambao vyeti vilitumia jina la sasa la MNMA.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

    Hakika ni aibu kwa eneo km kinondoni kuwa na mwakilishi mwenye elimu duni na yakuokotaokota,ktk hili atakua bubu kuhofia uwezo wke wa kujenga hoja bungeni,lazima aburuzwe na chama,kwa picha hii ndivyo hata mabaraza ya katiba yalivyo.NINI MATOKEO YAKE
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

    No research no right to talk,TFDA wamekurupuka bila kujiridhisha jambo linalozua maswali mengi,wafanye tafiti washirikiane na taasisi nyingine,vyuo na hata wataalam binafsi ndipo watueleze wananchi taarifa inayojitosheleza,mlikua wapi?
Back
Top Bottom