Mkuu, umenikumbusha Swala la Kigoma.
Imekuwaje barabara mbovu kiasi kile inajengwa katikati ya mji na viongozi mko kimya, huoni kama ile ni aibu.
Tembelea TZ huwezi kuta Barabara ya aina ile popote.
Mifano yako Iko nje ya mada yako kwa kiasi kikubwa.
Ndio mana mchangiaji kama Mpwimbe na mwenzake ruaharuaha Leo wanajichukulia point za Bure, maana hujibu hoja zao kulingana na muktadha wa post yako.
Post yako imejichanganya yenyewe, haijui inataka nini hasa.
Mtoa mada Leo amejichanganya sana hasa katika kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa.
Hali hii imeharibu mtiririko wa mawazo aliyokusudia kutuelimisha au kutufahamisha.
Natambua ni moja ya Hazina kubwa na kisima cha Elimu kwa sisi upcoming GT.
Asiishie kusema hatujaelewa mada yake, ni yeye ndio...
Hii mada ya Malcom imekuwa na skeleton tu, ukiisoma vizuri ni kama Haina muunganiko wa mawazo.
Imekosa mambo mengi sana ku justify lengo (theme) ya mada yake.
Kiufupi imepwaya sana kwa kurejea maswali kutoka Post No 7 kutoka kwa ruaharuaha
Mpaka sasa hakuna AI inayofikia ChatGPT, watu wana compare na Deepseek!
Lakin bado Deepseek haijafikia umahiri wa ChatGPT kwa utajiri wa kukusanya taarifa na kiwasilisha.
Analysis inayofanywa na ChatGPT ni yakiwango cha juu sana compared to Deepseek.
Ulikuwa hufahamu utaratibu, hivyo vyote ungeweza kuviweka kwenye tenga, ukapita kirahisi sana.
Kama simu uliweka kwenye tenga, basi ungeweka pamoja na hivyo vyote!
Ndugu yangu, sisi tulio maliza miaka takribani 22 iliyopita tulilipa hiyo, sasa wewe Leo unataka iwe chin?
Ulizia vyuo vingine gharama yake, utajua hiyo 40K bado wanawaonea huruma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.