Mjini watu wanatafuta pesa kwa akili sana, am sure kuna watu wamezinunua hizo tiketi in bulk wanasubiri watu waanze kua desperate wauziwe bei mara mbili yake, hii ipo sana hata kwenye kombe la dunia, jamaa walikua wananunua tiketi karibia zote afu watu wanaanza kuuziwa sasa kwa bei za kimtaa
Bank gani? Hizi za kwetu? Watu tunapeleka hati za nyumba, biashara zipo zinaonekana lakini tunazungushwa mikopo mpaka utoe rushwa, mtu apeleke proposal tu apewe 37M? Kwa bank zetu? Maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.