Recent content by luangalila

  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Nianzie wapi? nataka kuoa na kipato changu ni around 300k kwa mwezi

    Mbona una ata tu JIKO lako freshy, kama tayari una geto lako una jitegemea hao umemaliza hatua ya kwanza, Mahari huwa sio kosa kudaiwa So wewe wapelekee wakwe zako ata mbuzi 2 tu kwanza, usiwe na sherehe we funga ndoa ata ya BOMANI kwanza then mengine mtayafanya mbele kwa mbele huko
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za ndani tabata imekuwa kero isiyoisha

    kwa hali kama hiyo ata bei ya vyumba na nyumba za kungisha zina shuka thamani
  3. luangalila

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za ndani tabata imekuwa kero isiyoisha

    hahaha iyo tbt kimanga ndio kama tandale ndogo yaan ale tbt kimanga mwisho ile njia kama unaenda ile njia ya migombani yaan mi maji taka ina tiririka , nasikia zaman kulikuwa ni bonde la munga lile eneo ila watu wakajifanya ma engineer toka Holland wakajenga mijengo yao ila sasa ivi ni mijumba...
  4. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

    kiindi cha awamu ya mzee wa chato walileta sheria kali sana ya ku deal na mihadati iyo ndio sababu yaan ukikutwa na misokoto yako we OMBA mungu Jaji / hakimu awe amka vizuri , tena kama ndio umekutwa na midawa ya kulevya yaan hapo eleke kipra kabisaa
  5. luangalila

    JamiiForums Tanzania Natangaza kuidharau hotuba yote ya Emmanuel Nchimbi aliyoitoa leo kwa Wananchi, Imejaa ghiliba na uongo

    kuna baadhi ya misamiati u ina tosha kumtambulisha huyu User ni wa uande wa ili
  6. luangalila

    JamiiForums Tanzania Mtaka anabishana na mtoto pendwa atapona kweli?

    wa Tanzania sijui kwann tunapendaga sana utamaduni wa kung:'ang'ania nafasi za uongozi yaan kwa muda mrefuuu ata matokeoi kiduchuuuuuu
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Kwan hakuna speech ya Mwal Nyerere ambayo anasema kama ikiwa huu muungano umewashindeni hamna budi kuwachana nao ? haileti tafsiri nzuri eti taifa lenzio lina kuita jina baya kabisa lenye kuchukiza jina ''mkoloni'' jambo hili lina paswa kupatiwa suluhisho ya kudumu ambayo ni kuachana na haya...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Busara za Mansour Yussuf Himid

    muyungano
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Napendekeza Gari au trela zilizosajiliwa Zanzibar kufanya kazi Tanzania bara ili kutatua changamoto baina ya pande mbili

    Michezo hiyoooo, ktk hili hapana ni kheri kila gari litembelee kwa upande wa nchi yake tu
  10. luangalila

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mmepandishiwa ushuru wa Magari yaliyotumika huku mkikubaliwa kusajili magari Zanzibar, kimewalamba

    katika hatua ya kupima uzalendo wa wabunge wetu wa Tanganyika ndio umefika ! maana kwanza tuliambiwa uwekezaji wa DP utaleta tija sana tukaelewa, sasa ktk hili ndio tutaona uzalendo wa wa bunge wetu
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mmepandishiwa ushuru wa Magari yaliyotumika huku mkikubaliwa kusajili magari Zanzibar, kimewalamba

    kheri nilipitishie tanganyikani ili pesa yangu isaidie maendeleo ya ujenzi wa hospitali za kuwatibia watu wangu, kuliko nilipitishie kwa waarabu alafu wajenge hospitali wajitibie wenyewe NYAMBAVUUUUUUU
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

    hilo swala halipo, wakati Tanganyika inapata uhuru toka kwa mjeremani Je izo sehemu ulizo taja je zilikuwa ni mali ya sultan ? ..
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

    hiyo saa Tano ya U.S Alaska au saa 5 ya nchi gani hiyo ?
Back
Top Bottom