jana niliwaahidi kuwapa taarifa kamili za mapacha wanaotuchanganya. Kidogo nimewahi kuishi mkoani Arusha ktk harakati za kupata elimu kwa 4yrs na nilifanikiwa kuwaona hao mapacha ambao ni vigumu kuwatofafautisha kutokana na kufanana completely tabia yao ya kudanganya ilianzia mbali mno. Wenzao...
Mkuu ndio natafuta namba za classmates schoolmates wao wawathibitishieni humu humu Jamiiforum kama supporting evidence kwenu waheshimiwa. Nami nikipata simu zao nitawapandia niwaungamishe dhambi hii ya uongo.
Jamiiforum ni sehemu ya jamii kupata taarifa sahihi lkn wengi wamekuwa wapotoshaji, waongopeaji, wapambe na wazandiki wa kupindukia. Kwanza naombeni ninyi nyote mnikaribishe kwa mara ya kwanza hapa Jamiiforum. Chapisho la mwananchi kuhusu mapacha hao ni la uongo 100%. Kama imefika sehemu gazeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.