Nitamnukuhu Mr.Fazal kama alivyokuwa akimuumbua mmoja wa wafanyakazi wake(toka nchi jirani Congo au zamani Zaire) alimropokea akimteremshia matusi ya nguoni kama kawaida yake.
"We Fulani,……..(tusi la nguoni) we si Mkongo we! (matusi ya nguoni). Nyie Wakongo nawasaidia mnafanya...
Je wanaume wa ukweli wakitusalimia sisi LEOPARD TOURS SAFARI GUIDES kama hapo chini, si ni haki yetu jamaani?
"Waakina Mama Shikamooni" ( Wazee )
"Waakina Dada za saa hizi?" ( Vijana )
Salamu hii yatustahili kabisa kwa tuliyofanya hatukusimama kiume.
HONGERA MKUU WA MKOA WA KATAVI KAGOMA KUPOKEA MRADI ULIO CHINI YA KIWANGO
Mkuu wa mkoa wa Katavi amekataa kukubali makabithiana ya ujenzi wa madarasa,maabara na nyumba za waalimu uliojengwa chini ya kiwango. Alipokuwa akikabithiwa mradi huo, alionyeshwa mojawapo ya chumba cha darasa...
Mwaka mpya 2015 ulianza na kali ya mwaka baada ya ofisi ya serikali kuhamia kwa Zuher Fazal maarufu kama Fazal mmiliki wa LEOPARD TOURS.
Hili lilitokea baada ya mmiliki huyu kubuni njia yake batili ya kupunguza mishahara kwa 50% na kuwafukuza kazi wafanyakazi wake pasipo kuwalipa stahiki zao...
LEOPARD TOURS AJIGAMBA KUIWEKA SERIKALI YA TANZANIA MFUKONI.
ZUHER FAZAL maarufu kama FAZAL mmiliki wa LEOPARD TOURS mtanzania mwenye asili ya kiasia ajigamba kuipakata serikali ya Tanzania, aliyatamka kwa kinywa chake hivi majuzi alipokuwa akiwafokea wafanyakazi wake.
Alisema hakuna...

Alisema hakuna wa...
LEOPARD TOURS ORDERS TANZANIAN GOVERNMENT. ZUHER FAZAL maarufu kama FAZAL mmiliki wa LEOPARD TOURS mtanzania mwenye asili ya kiasia ajigamba kuipakata serikali ya Tanzania, aliyatamka kwa kinywa chake hivi majuzi alipokuwa akiwafokea wafanyakazi wake. Alisema hakuna wa kunifanya chochote nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.