L'pardTourSafarGuide
Member
- Jan 18, 2015
- 30
- 5
Je wanaume wa ukweli wakitusalimia sisi LEOPARD TOURS SAFARI GUIDES kama hapo chini, si ni haki yetu jamaani?
Salamu hii yatustahili kabisa kwa tuliyofanya hatukusimama kiume.
- "Waakina Mama Shikamooni" ( Wazee )
- "Waakina Dada za saa hizi?" ( Vijana )
Salamu hii yatustahili kabisa kwa tuliyofanya hatukusimama kiume.