Mkuu wa mkoa wa Katavi kagoma kupokea mradi ulio chini ya kiwango

Jan 18, 2015
30
5
HONGERA MKUU WA MKOA WA KATAVI KAGOMA KUPOKEA MRADI ULIO CHINI YA KIWANGO

Mkuu wa mkoa wa Katavi amekataa kukubali makabithiana ya ujenzi wa madarasa,maabara na nyumba za waalimu uliojengwa chini ya kiwango. Alipokuwa akikabithiwa mradi huo, alionyeshwa mojawapo ya chumba cha darasa kilichodaiwa kimegharimu million 20 ( 20m). Mheshimiwa alikoma kupokea kutokana na kutoridhishwa na kiwango hakilingani na gharama ya fedha.

Amemuagiza Mkandarasi huyo kurudia ujenzi kwa gharama zake mwenyewe. Tunawapenda na kutamani kuwapata viongozi kama hawa. Big up sana mkuu wa mkoa wa KATAVI.
 
Huyo RC pamoja na wataalamu wake walikuwa wapi siku zote kutembelea na kuona maendeleo ya ujenzi wa hayo madarasa? Sijaona lolote la maana zaidi ya uzembe wake pamoja na timu yake.
 
Back
Top Bottom