Recent content by Lozano

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Acha Kubishana na mamlaka angeshinda si angekua madarakani
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Mpuuzi baba yako Familia yangu mimi ni ya Engineers (Baba na mama) mimi mwenyewe nimesoma Agricultural Engineering Japo ni Tutorial- in study kwa sasa my future looks brighter na hiyo PhD nitaichukua kabla sijafika miaka 30 niko kwenye system sipigi Kelele mitandaoni tuu Ngoja nikatafute Chakula...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Angalia post za juu kuna Punga mwenzio alinidis kuwa mimi ni wa UDOM halafu yeye kaweka avatar ya SAUT. SUA > SAUT
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Acha Ujinga Kila Mtu na Mda wake Nilianza Darasa la Kwanza Mwaka 1998-2004 Form one-Four 2005-2008 Five na Six 2009-2011 University 2011-2015 Sasa hivi naosoma MSc. Ulitaka niwe nimemaliza PhD wakati nina Miaka 25! acha Ujinga.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Uchaguzi Mwezi Wa 11 my son.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Unakipi weFala Onesha!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Siwezi Kuangalia Vi account vya watu 25 au 2000 kwenye watu 350,000,000 wa marekani CHADEMA muwe mnafikiria.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    which Court found Clinton a Criminal!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    I referred ni yake kwa sababu FoxTv ndo mara nyingi inaonesha Kampeni (Upuuzi wa Trump) mda mwingi pia anahistoria nayo kumbuka TV show zake
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Mkuu nimekua Banned kwa Thread yako ile mpaka sasa mwezi wa pili nimeona nifungue Ac nyingine hii
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Waliopata Division One Form six hawasomi SAUT kwani Kichwani kwao tuu kinakua hakipo ila mwenye 3 na 4 ndo hukiwaza.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Ni Kwa sababu upo Tanzania huna Access ya Kufuatilia Uchaguzi wa Marekani Unasubiri TBC wakudokeze au mpaka Usome kwenye Gazeti la Mtanzania ndo nyinyi mlisema ""LOWASSA"" anashinda do not follow Noisy.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

    Bado mda mwingi Umebakia lakini huyu mama Hillary Clinton anaonekana ndiye Rais wa 45 wa Marekani and she deserves it na Democrate wako smart sana kuchagua Mgombea. Donald Trump anaonekana anatapapa ile kazi yake ya TV show katika television zake za Fox naona anairudia anatapatapa leo kaamka...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu anayeijua M/s Beny -Billy Construction Limited

    <br /> &lt;br /&gt;Acha Ujinga he asked anayeifahamu siyo anuani au kuelekezwa sehemu ilipo! Kwa sababu alishaelezwa wakati anaitwa wewe ndo huelewi ilibidi umueleweshe kampuni inafanya nini inalipaje siyo kuleta ushuzi.
Back
Top Bottom