Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi

Lozano

Member
Jul 4, 2016
22
12
Bado mda mwingi Umebakia lakini huyu mama Hillary Clinton anaonekana ndiye Rais wa 45 wa Marekani and she deserves it na Democrate wako smart sana kuchagua Mgombea.

Donald Trump anaonekana anatapapa ile kazi yake ya TV show katika television zake za Fox naona anairudia anatapatapa leo kaamka anamsifia Sadam Husein kwa Kuua watu pia nimeona kwenye Ukurusa wa Twitter anasema eti Hilary Clinton anapanda Air Force kama nani? watu wengi walimjibu "Kama huna habari she is arleady 45th president of US."

Ninapenda Kampeni za Clinton siyo za Kuchafuana na Kibaguzi dhidi ya watu wa mataifa mengine au Dini nyingine she is a Master of game.
 
Ningependa Trump awe rais pale anyooshe hii dunia kidogo
 
Kama Lowasa sema marekani hawana wizi wa kura
 
Wewe ki.laza kweli. Tangu lini Trump ndiye mwenye Fox??! Murdoch akiwa wapi? Hata kama ni plc.
 
lozano, umeiweka vizuri, hata mimi namwombea huyo mama awe wa 45. ni uvumilivu wake umempa hekima na busara, acha arudi white house, anastahili!
 
Wewe ki.laza kweli. Tangu lini Trump ndiye mwenye Fox??! Murdoch akiwa wapi? Hata kama ni plc.
I referred ni yake kwa sababu FoxTv ndo mara nyingi inaonesha Kampeni (Upuuzi wa Trump) mda mwingi pia anahistoria nayo kumbuka TV show zake
 
USA haiwezi kuongozwa na mwanamke mpaka dunua itakapoisha
Kuna maandiko mengi sana yanatimia sasas hivi. Castro alitabiri kuwa Marekani itarudisha uhusinano na Cuba wakati ambao Marekani ina Rais Mweusi na Kanisa Katoliki lina Papa kutoka Amerika Kusini....!

Inawezekana hata sasa kuna dalili za kutimia mambo yaliyotabiriwa awali ambayo tulifikiri hayawezi kuwa.
 
Ni Kwa sababu upo Tanzania huna Access ya Kufuatilia Uchaguzi wa Marekani Unasubiri TBC wakudokeze au mpaka Usome kwenye Gazeti la Mtanzania ndo nyinyi mlisema ""LOWASSA"" anashinda do not follow Noisy.
Kampeni za lowassa zilikua za kistaarabu kama za Clinton vile.
 
Clinton hawezi kupewa nchi...wamalekani hawako tayari kutaqaliwa na mwanamke....
 
Namxubr nione alivoniahidi kweny campaign kuwa akiingia madarakan vyama vyote vilivo saidia kuleta uhuru Africa vinaondoka madarakan ikiwemo na Chama cha majirani flan apa!!!!!
 
Back
Top Bottom