Lazima iwe gari Mkuu? Pesa hiyo kidogo sana utakua fundi garage ukipata gari ya hela hiyo
Kwanini usinunue Boda Boda as alternative way kwa bei hiyo nadhani unaweza kupata mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mweusi hivi?[emoji51][emoji51] m*s***e namchukia sana huyo alinipiga fine kwa style hiyo hiyo sema siku hiyo sikua na mood ya kugombana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake! Bwana unahisi na wewe baby wako hua Hana shida?[emoji3] akikuomba na wewe uko tayari kumpa?
Wanasema “a blessed hand is that who gives rather than who receives “(sina uhakika na kizungu hicho lakini) mjifunze na nyie kutoa
Mama zetu walikua hawavai ma nywele ya kichina wala kubandika mikucha....hawakua expensive kabisa kama kizazi hichi cha insta, mnapenda vitu expensive hela zenyewe hamna kazi kutupiga mizinga tu mnaboa
Wanawake na NYie mnajiendekeza sana kutwa kujifanya mayatima....most men hawapendi kuombwa hela , hela wanatoa automatic sasa mwanaume akishakua na mindset ya huyu manzi ni mtu wa mizinga ataishia kukuchezea na kukudump [emoji41][emoji41][emoji41] ....personally mimi tabia ya kuombanana ombana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.