Recent content by Loyadom

  1. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Kuhusu Rais kuhutubia bunge kesho ajibu 'Hakukua na uchaguzi nchi hii'

    Mwandishi amekomaa na swali lake hilo moja . HAYO NI MAELEKEZO
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mstaafu anazidi kusukuma Kete kwenda mbele kilichobaki ni uhai ili apate wasaa wa kusukuma kete iingie King

    MBAYA ZAIDI WATU WABAYA NDIO WANADUMU ZAIDI.
  3. L

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

    Pesa hizo zinalipwa lini? HESLB wametuma message kwa wahusika zipo tayari na wahusika hawapati kwa wakati, na wao kwasasa hawapo wameshamaliza muda wa masomo kwa intake yao .
  4. L

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

    Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni uwajibikaji gani huo? Pesa hizo zinalipwa lini? Dear .......... your loan item TU TZs 1,000,000.0 has been...
  5. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    Ahsante
  6. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Ahsante sana, tukiwa vijana wa argument with practice without fear. TUNAWEZA IJENGA TANZANIA BORA.🔥
  7. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    Sure
  8. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunatokomezaje viongozi machawa serikalini?

    Hiyo hoja ya kua na mgombea huru, imepiganiwa Sana miaka ya nyuma na Christopher mtikila (R I P), Na Kesi ilipigwa kisiasa .
  9. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    Kweli, Tukizingatia hayo nchi itakua Bora , Tatzo kubwa pia tunaishi Sana na nadharia kuliko kutenda .
  10. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  11. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Shida kubwa pia , Africans hatuna udhubutu tunategemea sana wengine
  12. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ni Janga kubwa kuliko UKIMWI

    Ahahaha Kitovu cha uzembe
  13. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kigoda cha Uzalendo na Utawala Bora

    Ahsant
Back
Top Bottom