Nadhani watu tunajua ya kuwa ni ushabiki na chuki binafsi za akina Sita, Ninauye, Membe, Kikwete, Nyalandu na wengine wengi ambao wamezijenga kwa Lowassa. Na pia tukubali ya kuwa uwezo wa Lowassa kikazi unawapa taabu hawa jamaa. Yupi kati ya hawa ni msafi? Membe ambaye amechukua pesa kutoka...