Recent content by Lowaru

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Pombe Padlock naona hii makitu ya Laigwanan kule Mbeya ni makubwa. Epu sepa maana Oktoba mwishoni utaambulia aibu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hii decoder ndiyo imekufa au?

    Naomba kufahamu. je ni hizi za sasa ambazo zina rangi nyeusi?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

    Hii kwa UKAWA ni faraja kwasababu wakati wa campaign itabidi Dr. Magufuli atoe majibu ya kina kuhusu matumizi Tshs 100 million za Naibu Waziri Tizeba kama malazi pale New Africa Hotel.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Urafiki ndani ya ccm ni wakati wa furaha. Tatizo likikupata wao watasepa. Mfano mzuri ni yule bibi wa UWT aliyetoka nje ya ukumbi wakati jina la EL lilipokosekana kwenye 5 bora. Baada ya muda leo hii amebadilika kama kinyonga na hamtambui tena EL.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Mimi nadiriki kusema Laigwanan EL hana hatia katika swala la Richmond.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Italeta hisia gani Kikwete kumkabidhi Lowassa madaraka ya Urais Uwanja wa Taifa?

    Professor wa kichina hana noma. siku hiyo Hatacheka cheka tu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wafuasi wa Lowassa wakosa kadi za CHADEMA

    JK sasa jisafishe na ufisadi wa "Richmkwere" (Richmond):sick:
  8. L

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Lowassa ndio nani kwa CCM? Ametawaliwa na tamaa, uchu wa madaraka. Mtikila kwenda kortini

    Laigwanan Lowasa ulikwenda jado asubuhi bila ganzi. Pambana na huyo simba mla uchumi wa Tanzania bila kunawa (mwenye mtambo wa Richmond)
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Lowassa ndio nani kwa CCM? Ametawaliwa na tamaa, uchu wa madaraka. Mtikila kwenda kortini

    Hongera Laigwanan Edward Lowasa. Morani hawezi kumwogopa simba akiingia kwenye boma lake. Ni lazima amuuwe huyo simba.:glasses-nerdy:
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vijana tujiunge vyama vya upinzani

    Tangu lini Lusinde akawa mpinzani? uliona mwenyewe alivyowatetea mafisadi wa Escrow!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Hapa nadhani kuna kosa la jinai. Labda kwakuwa wahusika ni makada wa CCM basi hakuna hatua Polisi itachukuliwa! Ebu jaribu kulinganisha hii issue na ile ya Lwakatare
  12. L

    JamiiForums Tanzania Japan: Dar could become an Industrial Hub

    Big-up President Kikwete.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nape na UVCCM Acheni unafiki kwa Mwl.Nyerere,Tundu Lissu Hongera Sana

    Support brother.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Bila kutafakari kwa kina huwezi kumwelewa Tundu Lissu. Mbona Intarahamwe wanapomtukana Mzee Jaji Warioba na tume yake, Kikwete hajawakaripia? Kama ubongo wako unafanya kazi vizuri, Je ile saini ya Hayati Mzee Karume ndio yenyewe? Tafadhali itazame kwa jicho la tatu.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Job Ndugai

    Hongera Mheshimiwa Job Ndugai kwa kuona mitazamo mikali ya wana Intarahamwe haitufikishi kokote. Ntarahamwe mwenzio Lukuvu kesha chafua hali ya hewa kule Zanzibar kwa kauli zake za kipumbavu kanisani na mjengoni.
Back
Top Bottom