Recent content by Low level

  1. Low level

    Ni dhambi katika uislam kuvaa mavazi yasiyositiri, Ukristo unaruhusu mtu kuvaa atakavyo, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, karibuni ukristoni

    Dini zote mbili zimeanzia mashariki ya Kati , mavazi wanayovaa waislamu ndo mavazi sahihi Kwa dini zote mbili , wavaa nusu uchi wote ni mashetani waliojivika vazi la kidini , mana inaeleweka wazi wavaa nusu uchi ni wafanya biashara ya ngono , katika mazingira yyte yale
  2. Low level

    Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

    Pesa ina mfumo mmoja tuu , hii Siri ni nadra kukuambia mtu , ukiipata jitahidi kuitoa Kwa Jambo Jema , eg kusaidia watu wenye uhitaji Kwa ambao unawafahamu ni vzuri zaidi , kutoa sadaka n.k , pesa ukiing'ang'ania hutakuja kuipata kamwe , ndo mana wanawake wengi hawana mzizi wa Pesa , Kwa...
  3. Low level

    Tangazo la Nafasi za kazi

Back
Top Bottom