Recent content by lovely princesita

  1. lovely princesita

    Masimulizi: Beyond Pain

    Story imekaa vyema,hongera mwandishi ila usipotee sana
  2. lovely princesita

    Mgeni

    Asanteni wote
  3. lovely princesita

    Mgeni

    Niliingia kimyakimya,lakini sasa naomba kujitambulisha.
  4. lovely princesita

    Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne

    Ofisini kwake utarudia kwenda mkuu?
  5. lovely princesita

    Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Acha tu KV LONDON,sijui huko chuo kuna mapepo gani.
  6. lovely princesita

    Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

    Pole sana,piga moyo konde na umove on.Yalinikuta kama yako lakini nashukuru mungu alinipa ujasiri,nikampata mume mwema, very happy in my marriage.
  7. lovely princesita

    Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Alikuwa chuo,Mi nikiwa kitaa nasota.nilipiga simu yake siku moja akapokea mdada na kunambia yeye ndo mmiliki yani demu wake. Nilikata simu na sikumuuliza wala kupiga tena simu,alinifuata kuomba msamaha nikamtolea nje.Nimeshaolewa naye ameoa lakini bado ananifata.
  8. lovely princesita

    Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Kweli jamani usiombe penda usipopendwa.
Back
Top Bottom